Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
-
- #61
Hahahah! halafu angalia vizuri, amemuwekea mtu mkono huku yeye anatazama upande mwingine, sasa kama huyo mtu kweli ni mbaya yeye anajua vipi kwamba kamdhibiti? au hatari ipo kwenye tumbo hahahah! aione Tlaatlaah manluWalinzi na wana usalama wa Bongo ndivyo walivyo. Wao wanajua kusukuma na kuamrisha tu.
Yes,Maoni yangu ndio hayo!Au ulitaka nisiseme Kila ninachokiona dhidi ya hoja zako?
Nikirudi kwenye jibu lako,sio suala la security tena bali kuingilia maongezi!Maana huko juu,ukatembea na code ya usalama!Ni vizuri kama umetambua kutokana na Michango ya wadau kwamba ingekuwa ni uzembe kama mtu anafika umbali huo Halafu hakustahili kuwa hapo!
Mimi naamini Kuna njia Bora zaidi ingeweza kutumika na sio hiyo!Angeweza kutumia hata kauli kuwa asubiri na isionekane kwa hadhira kuwa anamzuia kwa mkono!
Hata kimaadili haijakaa sawa,mtu mzima kama huyo unamzuia kwa kumuwekea mkono eneo kama hilo!Mzee kaingiliwa personal space yake!
Bado naamini kulikuwa na namna Bora zaidi Kuliko hivyo!
Gentleman,
CHADEMA hawawezi kuelewa Maana wengi wao ni Mbumbumbu wa Kiwango cha juuhakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before.
suala la usalama wa wa viongozi wa kitaifa ni nyeti na muhimu zaidi kuliko kitu chochote 🐒
Hizi u turn hazina maana zaidi ya kutaka kurefusha mjadala!Mimi naamini umeelewa ila ni ile pride tu ndio inakufanya uendelee kutwist maneno na kuzunguka mbuyu!Yes,
ni muhimu sana kukubaliana kutofautiana gentleman, na hiyo huleta afya katika majadiliano. Mihemko, makasiriko au matusi huwa kabisa ni vitu useless kwenye mijadala muhimu jukwaani.
hata hivyo,
kuhusu hoja mahususi mezani,
ni kwamba,
siku zote majukumu ya kiulinzi hasa yaliyo chini ya kiapo hayahitaji majadiliano katika kuyatekeleza, mathalani eti hapo unaposema eti huyo mlinzi angeweza kumueleza mzee atulie kidogo
hakuna kitu kama hicho kwenye masuala ya ulinzi, hua ni full command.
ni vizuri ikafahamika kwamba,
public sympathy daima hubaki nje ya jukumu la security personnel wa kiongozi yeyote yule wa kitaifa. But duniani kote, hakuna raia, regardless alikua nani before, atakaeruhusiwa kubreak security protocol dhidi ya viongozi wa kitaifa 🐒
ni kweli nakuunga mkono wengi ni ma genz z makanjanjaHuyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
Skiza gentleman,Huyu comrade Tlaatlaah ni Prof. wa kubadilisha goli la hoja! Kuwa naye makini. Huko juu alikuwa anatembea na hoja ya protocal; kaona kashindwa hoja, anahamia kwenye hoja kwamba kulikuwa na mazungumzo ya siri! Hii ni maajabu!
Sio lazima uanzishe thread kwa kila jambo unaloliona. Mtu mwenye busara angeiweka thread yake kwa mfumo wa kutaka kufahamu kwanini mzee Kimiti amepigwa pin?Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Nyie acheni hizo,kwani huyo mlinzi anamjua Kimiti ?Aisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC
Sio suala la uchawa.Duh,
Machawa bhana!!
Ila usalama wa wananchi hauna umuhimu siyo??
Na siyo kazi yake kumjuaHuyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
Yes gentleman,Hizi u turn hazina maana zaidi ya kutaka kurefusha mjadala!Mimi naamini umeelewa ila ni ile pride tu ndio inakufanya uendelee kutwist maneno na kuzunguka mbuyu!
Command zipo nyingi ikiwamo verbal command!Sio Kila jambo linahitaji nguvu!
Tukio hilo ni la aibu!
Huko juu umekubali Mzee huyo mpaka anafika hapo,hakuwa tishio kiusalama!Ndio ukaja na hoja ya maongezi binafsi ya PM na VP!
Kwahiyo hoja hapa ni privacy na sio security!
Nchi gani wanatangaza ajira za wanausalama?Hii kazi ni ya kindugu sana tangu nizaliwe sijawahi kuona uwazi wa upatikanaji wa ajira yake. Ila nilichoshuhudia mimi wanangu ambao ndugu zao wapo kitengoni na wao wameula.
Je, huwa wanatangaza ajira?
Sawa, wewe focus kwenye maendeleo ya nchi...Focus kwenye maendeleo ya nchi na wananchi wake sio maendeleo ya hao vibaka wa mali za uma
Umesahau mara hii huko juu ulianza na tishio la usalama na ndio ulikuwa msingi wa hoja Yako?Ndio member ikiwemo Mimi tukaeleza,mtu mpaka anafika kwenye hiyo proximity,Lazima awe amefanyiwa security clearance else ni uzembe!Kwa maana hiyo,mpaka anafika pale,alistahili kuwa pale!Yes gentleman,
mimi naelewa ndio maana nasisitiza,
hakuna raia anaweza kuruhusiwa kujoin au kuinterfere mazunguzo ya viongozi wa kitaifa regardless yeye ni Mzee au sijui alikua nani before. Hakuna security personnel anaweza kuruhusu hiyo nonsense, unless anataka kufutwa kazi.
Halafu nimekueleza hapo juu,
Kwamba raia Mzee hakua tishio na hapakua na kitisho chochote cha kiusalama kwa kiongozi au raia yoyote kwenye hafla hiyo.
Security personnels walitekeleza wajibu wao kwa weledi mkubwa mpaka viongozi hao wa kitaifa waliposambaa kuendelea na majukumu mengine makubwa ya taifa letu.
ni vizuri kuishi kwenye maelezo hayo muhimu sana 🐒
Kila sehemu kwa wakati husika kuna protokali we zoba, hao jamaa wanajua kazi zaoAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC