Looh! Eti naye Mzee Kimiti ni tisho la usalama wa Waziri Mkuu na Makamu!


Hapo unazungumzia suala la usalama Mzee, hapo hata angekuwa Baba yake na Mwigulu angepigwa stop tu....hapo halindwi Mwigulu wala Ndejembi sijui.... Hapo analindwa VP na PM..

ndani ya viunga vya Sanaa - Yemeni
 
Kuna wakati tunaweka siasa pembeni kidogo, tunajaribu kujadili kwa kutumia maarifa.

Kazi ya mlinzi sikujua nani na nani wako hapo, kazi yake ni kulinda mzingo wake aliokabidhiwa na mazingira yeyote yanayoweza kuleta hatari.....mengi haya ni nje ya hizi siasa mbuzi za CCM na CDM.

ndani ya viunga vya Sanaa- Yemeni.
 
Makonda lini aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma? Wee chawa uwe na kumbukumbu kichwani humo, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe hunaga akili, woiiiih
 
Hawa majamaa hamna kitu kazi kupigwa jua tu na miwani zao hizo .

Yaani ni zero brain yamekomalia kukamatwa wasiojiweza tu. Unakumbuka Zacharia aliwatawanya kama kuku.
 
huyu mzee ana historia kubwa alihojiwa UTV kipindi chaa.................. na amekutana na wengi maarufu ma papa kadhaa etc.


Wakati wa jiwe kwenye hafla zake anazokuwepo nilikuwa naona hawaweki visu au umma mezani, ni vijiko tu! Mbona kwa Trump kila kitu hadi visu vya kulia huwa vinawekwa mezani?
kumbe?? una kapicha????????
Nchi gani wanatangaza ajira za wanausalama?
zote kasoro zilizokuwa na ukomunist km chn krea kask na venez na cuba
 
Nao wamezidi wacha wadharirishwe, si mnakumbuka huyu Mzee kwenye ule mkutano wa wazee wa Darisalaam wa ? huyu anatakiwa atembelewa nyumbani kwake, kila kitabu na zama zake.
 
hakunaga kujuana kwenye masuala ya usalama wa viongozi wa kitaifa, regardless wewe ni nani au uliwahi kua nani nchi hii before.

suala la usalama wa wa viongozi wa kitaifa ni nyeti na muhimu zaidi kuliko kitu chochote πŸ’
Mbona Unakuwa mjinga Ivo Mzee mpaka kuwa na Proximity hivo na hio detail mana yake wapo aware, Kuna watu ni marobot kweli na Ujinga mwingi Yale Yale ya mlinzi kumzuia Rais wa Senegal kisha kavaa casual tu
 
Protocol pia walizingua... watu mashuhuri wangetakiwa kuwa na utambulisho au kukaa mahali fulani...

Walinzi wengine ni Gen Z, watamjulia wapi Kimiti
 
Sijaona Kosa la huyo mlinzi, siku zote mtu wa chini ndo tishio kwa mkubwa, ndicho kilichofanyika hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…