muerevu tuliza mihemko useless jukwaani na ujieleze vizuri kwa kurelax kwa faida ya wadau wa Jf na itapendeza zaidi, okay?πMbona Unakuwa mjinga Ivo Mzee mpaka kuwa na Proximity hivo na hio detail mana yake wapo aware, Kuna watu ni marobot kweli na Ujinga mwingi Yale Yale ya mlinzi kumzuia Rais wa Senegal kisha kavaa casual tu
Haijalishi,wanausalama walijisahau mzee mwingi akapigwa kibaoHuyo mlinzi inawezekana hata hamjui Mzee Paul Kimiti ni nani.
huenda ni typing error,Makonda lini aliwahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dodoma? Wee chawa uwe na kumbukumbu kichwani humo, Lol
ππππ kumbe hunaga akili, woiiiih
elezea ukweli bas bila mihemko na itapendeza zaidi madame.Wewe chawa ni liongo sana, uwage na aibu, khaaah
Yaani umekua chawa. Hadi akili na ufahamu umekutoka, khaaah.huenda ni typing error,
lakini ilifaa kua Dar Es Salaam.
hata hivyo,
kwa faida ya wadau wa Jf, ilipaswa ueleze au kunikumbusha usahihi bila kicheko na ingependeza zaidi madame π
Wewe ni Liongo sana.elezea ukweli bas bila mihemko na itapendeza zaidi madame.
In fact,
binafsi wajibu wangu daima jukwaani, ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu π
kwenye kuelekeza wadau wa Jf wenye uelewa na ufahamu mdogo juu ya protocols za kiusalama kwa viongozi wa kitaifa, kunaweza kua na typing errorz za hapa na pale, na kama familia ya JF, huwa tunasahihishana tu bila kujipiga kifua na ikapendeza zaidi.πYaani umekua chawa. Hadi akili na ufahamu umekutoka, khaaah.
Duuuuh!!
Gentleman,Umesahau mara hii huko juu ulianza na tishio la usalama na ndio ulikuwa msingi wa hoja Yako?Ndio member ikiwemo Mimi tukaeleza,mtu mpaka anafika kwenye hiyo proximity,Lazima awe amefanyiwa security clearance else ni uzembe!Kwa maana hiyo,mpaka anafika pale,alistahili kuwa pale!
Ukaja kwenye maongezi binafsi na kwamba hakutakiwa kusikia!Ndio tukasema,kama mtu sio security threat,kwanini afanyiwe hivyo?Hakuna njia mbadala Isipokuwa hiyo?Nakazia,was that the only way?
Kwa maoni yangu ndio Nikasema hapana,kungeweza kutumika namna nyingine bora zaidi kufikia matokeo hayo hayo!Nguvu sio suluhiaho pekee hasa kwa mazingira kama hayo!
Hapa unaweza kuwa unatetea tu,kumbe huko mtu anahojiwa maswali kama haya haya na wakubwa zake!
Mambo yanakwenda haraka sana na haramu hii tuliyonayo sasa.Wanaccm hawaachiani maji ya kunywa mezani- Kikwete
Kuna wawili nawajua ni "drop out" makatuga wakabebwa na baba zao, mara kozi miezi 6 Zenji kule, kidogo walinzi Mzena, mara wapo kwa PSU.Nina shaka sana na elimu za wanaoitwa walinzi wa viongozi
Nchi zingine huwa na elimu na ujuzi wa kutukuka kuhusu masuala mengi mtambuka kutokana na elimu waliyopata ya kiwango kizuri na kuzidi raia wa kawaida.
Hilo la Waziri mkuu mpya aliyeteuliwa gizani nimeulizwa na wengi, ila nipeni muda nitafafanuaMambo yanakwenda haraka sana na haramu hii tuliyonayo sasa.
Hebu nifahamishe mkuu 'Erythro', kuna Waziri Mkuu (Haramu) mwingine kateuliwa badala ya Madelu?
Maelezo kwenye yaarifa hiyo yanasema "Waziri Mkuu"!
Sitaki kuondoka bila ya kugusia mada yenyewe.
Huyo mzee Kimiti kajidhalilisha mwenyewe.
Hakuwa na sababu hata moja ya kusogelea eneo hilo kama siyo kwenda kujionyesha aonekane naye bado yupo, na pengine akumbukwe kwenye uharamia linalofanyiwa na taifa hili na washenzi hawa,
He got what he deserved.
Huko ni kujificha kwenye kichaka! Tangu lini watu wakawa na vikao vya aina hiyo? Kama ni kikao hicho, kama ulivyosema, basi hii nchi ina safari ndefu sana, kama viongozi wanakuwa na vikao vya kisela namna hiyo.
Unaona umeandika ya maana sana kumbe ni vitu vya kawaida ambavyo umeviandika toka huko juu na ni hisia zako tu!Punguza ujuaji kijana na kama unahisi hoja imekuelemea,tupa taulo tu!Ndio waungwana hufanya hivyo!Kuendelea kushupaza shingo na kuandika kujifanya unaandika za ndani wakati ni vitu vya kawaida vya kufikirika tu,sio kujiokoa Kwa watu makini bali ndio kujizamisha zaidi!Gentleman,
sikufaa kueleza hili but kwa faida ya wadau wote wa JF ni kwamba,
wanapokuwapo viongozi zaidi ya moja wa kitaifa, kunakua na high level of security services. Eneo kubwa zaidi linakua scanned tofauti na akiwepo kiongozi moja tu.
kwa umati wa aina ile,
na raia kuruhusiwa kua karibu kiasi kile na viongozi wa kitaifa, ni wazi kwamba hapakuwepo kabisa na kitisho chochote cha kiusalama kwa viongozi na wananchi wote waliokusanyika pale.
Kuzuia kwa yule Mzee kusogelea viongozi wa kitaifa waliokua wakijadiliana jambo, kuna mambo mawili au matatu ya kuelewa.
Moja, alizuiwa kwa sababu za kiusalama kwa viongozi wa kitaifa.
Pili alizuiwa kwasababu ya kuepusha kuinterfere kilichokua kinazungumzwa na viongozi hao wa kitaifa.
Lakini jambo la tatu ni la kiprotokali tu na wajibu wa kawaida, kwa security personnel kutekeleza wajibu wake wa kulinda kiongozi dhidi ya kua disturbed na raia wenye nia tofauti tofauti wanazojua wao.
Ni muhimu zaidi kuelewa hayo kuliko kudanganyana na kufarijiana kwa makosa ya uelewa na ufahamu dhidi ya mambo haya ya kitaalamu katika usalama wa viongozi wa kitaifa nchini π
Mkuu unajua/fahamu hata kidogo kuhusu ulinzi wa viongozi?? Yani kwa sababu una heshima na unajua historia basi upite kila sehemu??Thats a poor strategy! Kama mwanausalama lazima ungeshakuwa na protocal ya kujua ni watu aina gani wataruhusiwa kwenye proximity area ya viongozi. Hiyo mbinu aliyotumia hapo ni zima moto na inamfanya aonekana hakutumia akili, hajiamini na kazi yake. Hizo risks angetakiwa kuzi-calculate kabla ya kupeleka mkono kwa mzee wa watu mwenye heshima yake na historia ya hii nchi anaijua. Jifunze na badilika!
siasa ni sayansi madame πWewe ni Liongo sanaa.
Yes,Unaona umeandika ya maana sana kumbe ni vitu vya kawaida ambavyo umeviandika toka huko juu na ni hisia zako tu!Punguza ujuaji kijana na kama unahisi hoja imekuelemea,tupa taulo tu!Ndio waungwana hufanya hivyo!Kuendelea kushupaza shingo na kuandika kujifanya unaandika za ndani wakati ni vitu vya kawaida vya kufikirika tu,sio kujiokoa Kwa watu makini bali ndio kujizamisha zaidi!
Nikazie tu hoja zangu;
*Issue sio usalama maana asingeweza kufika eneo la karibu kiasi hicho kama alikuwa tishio!
*Hata kama hakuna raia aliyekuwa tishio,sio Kila raia anaweza kufika umbali huo!Maana yake,alikuwa na zaidi ya security clearance!Yaani alikuwa na pass ya kusogea mpaka hapo!
*Mtu mwenye sifa 2 tajwa hapo juu,unawezaje kumzuia kwa style hiyo for the excuse ya kutokuingilia majadiliano?Je,hakukuwa na namna nyingine zaidi ya hiyo?Ni sahihi kuua sisimizi kwa kutumia nyundo?
*Kuhusu ufaragha wa maongezi.Ni wazi kabisa eneo kama hilo ni la maongezi ya kawaida!Siku hizi watu wanaweza Tafsiri ulichokuwa unaongea kwa kutumia AI na marejeo ya video!Huwezi kunishawishi masuala nyeti yanaweza kuzungumziwa hadharani zaidi ya vitu vya kawaida visivyo na athari!Ndio maana unaona hata kwenye viwanja vya mpira wachezaji wanapeana maelekezo huku wameziba midomo kuepuka kugundulika wanachoongea!
Hayo yote yalipaswa kueleweka na mtu ambaye ni professional kwenye taaluma yake!
NB:Kuna member huko juu alinipa tahadhari,Sasa ukija na vitu vyepesi natundika daluga!
Hata Manuel alikuwa vice president, akisogea hapo angefanywa hivyo..semi-sextile huyo former Rc na waziri...alinusurika kuwa pm wa wakati huoAisee nimecheka sana! kwenye tukio la Waziri Mkuu kukutana na Makamu wa Rais, anaonekana mlinzi kama anamzuia Mzee Kimiti kana kwamba ni mtu anaweza kugeuka kitisho cha usalama! Anamzuia kabisa mzee wa watu anamuwekea mkono wa kumziba tumboni, mtu ambaye alishawahi kuwa mkuu wa mkoa na mbunge wa muda mrefu View attachment 3691361
Huu ni uchapa kazi au uzwazwa!?
Mzee wa watu atajutia kuwa hapo, si bora angekuwa tu anakunywa zake kahawa. Wanataka kumpandisha presha bure!
MC