Denis samwel
Member
- Aug 15, 2016
- 52
- 15
- Thread starter
- #61
Hahaaaaaaaaaaaaaaaa nimecheka sana aisee vijana wa Dar nyie nomaa mnamatusi kama dada zenuu hafu wewe Denis si upo tabata hata huyo Narei yupo Tabata so tafutaneni mdundane...
[HASHTAG]#Mchochezi[/HASHTAG]
Unajua hawa vijana wanakosa respect kaka wao wanazani kila MTU wa kumtuc tu.
Sikatai kukosolewa Bali Nakataa kutukanwaa Yaani hapo ntacheza na ww kwa kweli sintokuacha hata kidogo lazima nikutie Adabu.
Wafundishe kumkosoa mtu sio kumtukana MTU
Maisha yatuchanganye na Wao watuchanganyee siwez kuwaacha wote nta deal nao kaka.
Respect kwako mzee.