Looking for a job marketing positions or insurance principal officer


Asante kwa maneno yako ya Busara na yasiyo na Matuc ila Naomba nami nikukumbushe kitu Kukosolewa sio dhambi ila Dhambi ni Kutukanwa ama lugha za Matuc juu ya Mwandishi.

Mtu anapokosolewa inamsaidia kujua kile alichokikosea Ila Anapotukanwa Ina msaidia nini
 
Denis kumbuka kitu chochote ambacho kipo mtandaoni hakiozi kitakaa humu forever so jaribu sana kuangalia uandishi wako na mabishano ambayo sio ya lazima..you have a future ahead of you CV yako iko mtandaoni tayar na kila mtu kajua wewe ni nani..So achana na lugha zisizofaa hata mtu akikutukana ww poteza sbb wewe ndio utakuja kua looser hapo badae pale mtu atakapokuja kukuchimbua!
 
Rekebisha CV yako kwanzo ina mapungufu mengi sana , employers watakuona hauko serious. Ushauri tu usitoe povu
 
Kuna mtu ana probox anatafuta dreva wa uber vipi nikuunganishe?
 
Vitz RS 10.5---
30,000 * 30 * 12 * 2 = 21.6
Duh Hii Ni Mara Mbili Yake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Naitwa Denis Samwel nipo Tabata Natafuta Gari ya kufanyia kazi ya usafiri wa Mtandaoni yaani Uber, Taxify na Ping.

Account zote Ninazo pia Niko na licence inayoniruhusu kufanya kazi hii, Pia niko Hati ya Tabia njema kutoka Wizara ya mambo ya ndani ya nchi. Umri wangu miaka 27.

Hesabu ni sh. 30000 kwa siku gari nataka mkataba na mkataba utegemeane na Gari ya muhusika mwenyewe maana inawezekana ikawa imetumika kiasi chake, Ikiwa mpya ni miaka 2.

Gari inatakiwa Iwe Toyota Ractis, IST Au VITZ. Mimi ni mwajiriwa wa kampuni moja hapa mjini kwahiyo hesabu ya 30000 kwa Siku haiwezi kunishinda,.

Ahsantenii. Namba zangu 0716397525 au 0684731015
 
Naitwa Denis Samwel nipo Tabata Natafuta Gari ya kufanyia kazi ya usafiri wa Mtandaoni yaani Uber, Taxify na Ping...
Hiyo hesabu yako piga X 6/7,

Sababu ni kua kwa wiki huleta 30,000 x 6 = 180,000 badala ya 210,000 uliopigia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…