Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

Lotion niliyotumia nikawa mweupe imenikataa

iamriq_arthur

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
440
Reaction score
1,086
Kuna lotion niliyokuwa naitumia first time ilinikubali sana nikawa mweupe kama mwarabu, kopo liliisha nikanunua jingine sasa hii ya mara ya pili ndo imenikataa kabisa yaani nimekuwa mweusi mpaka nimepitiliza.

Najiuliza hii ya mara ya pili ilkuwa imeexpaya ama vipi,.?

Naombeni ushauri.
 
Kama nakuona vile😆

images - 2023-11-01T120552.905.jpeg
 
Tatizo linaanzia hapa


Likaja hapa.



Kuna shida.
 
Tatizo linaanzia hapa


Likaja hapa.



Kuna shida.
Kumbe ndo habari yenyewe 😃🤣🤣🤭
 
kuna lotion niliyokua naitumia first time ilinikubali sana nikawa mweupe kama mwarabu, kopo liliisha nikanunua jingine sasa hii ya mara ya pili ndo imenikataa kabisa yan nimekua mweusi mpaka nimepitiliza.

Najiuliza hii ya mara ya pili ilkua imeexpaya ama vp,.?
Naombeni ushauri.
Sasa wewe lotion ya nini?
Wakati ni mwanaume?
 
Wanaume wa Dar wana mambo kwa kweli 😁😁😁
KIPA KATOKA KAACHA GOLI WAZI
 
Back
Top Bottom