Na bahati mbaya wamejazana mjinHizi ajali zote zinazotokea Trafiki hawakutosha? Suluhisho la ajali barabarani ni mwendokasi kuwe na vidhibiti mwendo au abiria wawe wanamdhibiti dereva. Pia barabara ziwe angalau na upana unaotosha na sio kujaza trafiki.
Tanzania ina wapuuzi wengi tu wa namna hiyo cjui kwa nn hawaondolewiAisee hili hata mm limenishangaza sana
Kirikuu kukatiza salama mbele ya askari ni kama tajiri kuingia mbinguni😂😂😂 sahizi kirikuu hakitembeagiKinana hakusema anataka waondolewe wote hapana,nikwamba wapunguzwe kuna haja gani safari yako ya km 4 iwe na vituo vinne vya askari na wote na wote wanakusimamisha?na mimi naongezea hapo je,kuna tafiti gani walifanyaga ikawaonyesha pick up,fuso,canter hiace ndio gari zisizo ruhusiwa kupita bila kupigwa mkono?
Ni camera specialKama wanakorokochoa taa za barabarani ili asimame yeye apige mpunga itakua camera
Ukweli lazima.usemwe, mfano kutoka Mbalizi Hadi Songwe pale kiwanda cha simenti, Kuna vituo vya trafic police visivyopungua vinne, yaani ndani ya dk 10, mnasimama, kero kabisa
Wewe hapo ndiyo unaonekana low IQ dunia hivi sasa inazungumzia ufanisi kwa kutumia teknolojia ya kisasa, wewe unang'ang'ania askari kujazana barabarani kila baada ya mita 1000 wakati hao wangesambaa kuwalinda raia na mali zao, na camera zikafanya kazi unayosema90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Huko serikalini watu wenye mawazo chanya sijui kwa nini huwa hawasikilizwi ama wanatolewa na wale wenye manufaa na hali ilivyosasa.Kukomesha ushenzi wote kutoka pande zote zinazosimamia matumizi ya barabara ni muhimu tufuate ushauri wa DCP mmoja aliyewahi kushauri ufungwaji na matumizi ya Camera ambapo alisema hiyo pia itakuwa ni muarobaini kwa bodaboda lakini bahati mbaya ushauri wake ulitupwa na yeye akang'olewa pale juu ..Binafsi sioni kama uwingi wa Traffic ni tatizo bali tumelemaa mno na traditional tactics badala ya kwenda kidigitali
Pole afandeKila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Vipi kamera huwa inakusanya rushwa?Hiyo ni kawaida Dunia nzima, tofauti ni kwamba Nchi tajiri hutumia teknolojia, lkn huwezi kutembea zaidi ya km 10 hata Ulaya/USA/Japan bila kamera ya kucontrol mwendo wa magari, sasa Tanzania hakuna kamera kuna Polisi, ni kawaida Dunia mzima ni hivyo!
Kinana kashauri tu na siyo kwamba katoa maelekezo, hata hivyi Trafiki hazuii ajali bali ajali huzuiliwa na muongoza chombo, Kwa nyongeza ni kwamba Trafiki kwa kiasi kikubwa wapo kwa ajili ya rushwa tu ndo maana hujazana barabarani pasi na sababu. Mbona kwa kipindi hiki ajali zinatokea na Trafiki wapo kibaaao barabarani?Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Mkuu umenikumbusha Allegory of the Cave.Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Madereva wote wanaoendesha magari wanatokea Stendi? Hivi ni ajali ngapi za mabasi zimesababishwa na malori ambayo ni marufuku kuingia stendi? Kwa mikoani mtaweza kukaa kimya lakini acha wapungue Dar wiki moja tu mtasema.Wewe ndio low IQ Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe,kama suala la ulevi Traffic wamchek dereva kabla hajatoka stand. Pamoja na huo wingi wa traffic Kila Siku wapo mbona ajali Bado zipo
huna akili weweKwa Akili zako hujui hawa Polisi ndio wanawaelimisha Madereva juu ya kuzuia AJALI?
Hata malor yana stand Yao Mkuu Iko pale Kurasin. Mengine pia yanakuwa na stand zao tatizo umekariri tu bus standMadereva wote wanaoendesha magari wanatokea Stendi? Hivi ni ajali ngapi za mabasi zimesababishwa na malori ambayo ni marufuku kuingia stendi? Kwa mikoani mtaweza kukaa kimya lakini acha wapungue Dar wiki moja tu mtasema.
Low IQ inaanzia kwako kwa kushindwa kumwelewa mzee Kinana.Narudia kumsikiliza,sisikii akisema traffic police waondolewe,.hebu rudia kumsikiliza tena halafu andika ulichojifunza.Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Naamini Imemkolea hiiKwahiyo hao trafiki wanazuia ajali?
Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe, logic ni kwamba wako wengi sana inafika hatua wanasimamisha magali unnecessarily yaani ilimradi usumbufu tu.
Inapelekea watu wapate usumbufu na kuchelewa kwenye shughuli zao.
Kwa wenzetu pia hali iko ivo?
Nijibu we koplo mwenye low IQ
Na bado wahafidhina wa kiislamu hawajacharuka msikiti kuhusishwa na upuuzi.Ni kama hii inayoandika haya
kama msikiti upo kwenye jezi why not kanisa jamani?