Low IQ Tanzania, wanafurahia Polisi kuondolewa barabarani!

Kinana hakusema anataka waondolewe wote hapana,nikwamba wapunguzwe kuna haja gani safari yako ya km 4 iwe na vituo vinne vya askari na wote na wote wanakusimamisha?na mimi naongezea hapo je,kuna tafiti gani walifanyaga ikawaonyesha pick up,fuso,canter hiace ndio gari zisizo ruhusiwa kupita bila kupigwa mkono?
Kirikuu kukatiza salama mbele ya askari ni kama tajiri kuingia mbinguni😂😂😂 sahizi kirikuu hakitembeagi
 
Hii mada ni Sisi Raia tunabishana na Trafic Police ambao wamo humu ndani,wanatetea maslahi yao.Tuwaambieni nyie mapolisi,ukweli ni kwamba nyinyi mmekuwa kero kutuchelewesha maendeleo.Nyie wenyewe magari yenu ya kipolisi na binafsi ni mabovu nani anawakamata?
 
Kama wanakorokochoa taa za barabarani ili asimame yeye apige mpunga itakua camera
Ni camera special
1659178250027.png
 
Bila trafiki police, ile barabara itaua sana. Tuache siasa kwenye mambo ys kitaalam.
Ukweli lazima.usemwe, mfano kutoka Mbalizi Hadi Songwe pale kiwanda cha simenti, Kuna vituo vya trafic police visivyopungua vinne, yaani ndani ya dk 10, mnasimama, kero kabisa
 
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Wewe hapo ndiyo unaonekana low IQ dunia hivi sasa inazungumzia ufanisi kwa kutumia teknolojia ya kisasa, wewe unang'ang'ania askari kujazana barabarani kila baada ya mita 1000 wakati hao wangesambaa kuwalinda raia na mali zao, na camera zikafanya kazi unayosema
 
Kukomesha ushenzi wote kutoka pande zote zinazosimamia matumizi ya barabara ni muhimu tufuate ushauri wa DCP mmoja aliyewahi kushauri ufungwaji na matumizi ya Camera ambapo alisema hiyo pia itakuwa ni muarobaini kwa bodaboda lakini bahati mbaya ushauri wake ulitupwa na yeye akang'olewa pale juu ..Binafsi sioni kama uwingi wa Traffic ni tatizo bali tumelemaa mno na traditional tactics badala ya kwenda kidigitali
Huko serikalini watu wenye mawazo chanya sijui kwa nini huwa hawasikilizwi ama wanatolewa na wale wenye manufaa na hali ilivyosasa.
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Pole afande
 
Hiyo ni kawaida Dunia nzima, tofauti ni kwamba Nchi tajiri hutumia teknolojia, lkn huwezi kutembea zaidi ya km 10 hata Ulaya/USA/Japan bila kamera ya kucontrol mwendo wa magari, sasa Tanzania hakuna kamera kuna Polisi, ni kawaida Dunia mzima ni hivyo!
Vipi kamera huwa inakusanya rushwa?
 
yaani tunashukuru pendekezo katoa kinana,hawa wanasiasa hawa.
angekuwa ni kiongozi wa Uma kama PM au VP leo wakazi wa DSM wangeonjeshwa utamu hata kwa masaa 12 tu wajue.

traffic wangeachwa sehemu hizo muhimu halafu shughuli yake kila mtu angeiona.
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Kinana kashauri tu na siyo kwamba katoa maelekezo, hata hivyi Trafiki hazuii ajali bali ajali huzuiliwa na muongoza chombo, Kwa nyongeza ni kwamba Trafiki kwa kiasi kikubwa wapo kwa ajili ya rushwa tu ndo maana hujazana barabarani pasi na sababu. Mbona kwa kipindi hiki ajali zinatokea na Trafiki wapo kibaaao barabarani?
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Mkuu umenikumbusha Allegory of the Cave.
 
Wewe ndio low IQ Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe,kama suala la ulevi Traffic wamchek dereva kabla hajatoka stand. Pamoja na huo wingi wa traffic Kila Siku wapo mbona ajali Bado zipo
Madereva wote wanaoendesha magari wanatokea Stendi? Hivi ni ajali ngapi za mabasi zimesababishwa na malori ambayo ni marufuku kuingia stendi? Kwa mikoani mtaweza kukaa kimya lakini acha wapungue Dar wiki moja tu mtasema.
 
Kwa Akili zako hujui hawa Polisi ndio wanawaelimisha Madereva juu ya kuzuia AJALI?
huna akili wewe
barabarani kuna madereva kivyeo wapo juu kuliko hao mapolisi
hili ni darasa kubwa kwako kijana
uliza watu wakwambie
 
Madereva wote wanaoendesha magari wanatokea Stendi? Hivi ni ajali ngapi za mabasi zimesababishwa na malori ambayo ni marufuku kuingia stendi? Kwa mikoani mtaweza kukaa kimya lakini acha wapungue Dar wiki moja tu mtasema.
Hata malor yana stand Yao Mkuu Iko pale Kurasin. Mengine pia yanakuwa na stand zao tatizo umekariri tu bus stand
 
Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.

Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?

90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.

Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
Low IQ inaanzia kwako kwa kushindwa kumwelewa mzee Kinana.Narudia kumsikiliza,sisikii akisema traffic police waondolewe,.hebu rudia kumsikiliza tena halafu andika ulichojifunza.
 
Kwahiyo hao trafiki wanazuia ajali?

Kinana ameshauri wapunguzwe sio waondolewe, logic ni kwamba wako wengi sana inafika hatua wanasimamisha magali unnecessarily yaani ilimradi usumbufu tu.

Inapelekea watu wapate usumbufu na kuchelewa kwenye shughuli zao.

Kwa wenzetu pia hali iko ivo?

Nijibu we koplo mwenye low IQ
Naamini Imemkolea hii
 
Back
Top Bottom