babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Kama wanakorokochoa taa za barabarani ili asimame yeye apige mpunga itakua cameraNi kweli ubinafsi umewajaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanakorokochoa taa za barabarani ili asimame yeye apige mpunga itakua cameraNi kweli ubinafsi umewajaa
taifa lina watu makalio sana,wewe unazijua takwimu za ajali mji wote huu kwa siku???Mpumbavu wewe, ajali za mijini ni ngapi.
Au nawe unakurupuka na kuja kuleta hoja za kijinga hapa.
Kinana kasema ma trafiki waondolewe mijini
msome tena mletamada,na huu sio muda wa kulewa.
unaelewa maana ya neno wapunguzwe???acheni upumbavu watz siasa zinawadumaza.
yaani wewe unafikiri watapunguzwa kwa kuvalishwa nguo nyeusi au??wataondolewa barabarani wabaki ambao wewe na yeye msivyo na akili mnaona wanatosha,sijui wangapi??
narudia tena acha ujinga,unahisi kusumbuliwa na traffic!!!unatakiwa ujue kwamba hata waliopo hawatoshi.
una shughuli ipi wewe ya maana unayochelewa kwa akili hizi!!!
wenzenu akina nani??umetembea nchi gani wewe ambayo haina points za ukaguzi??
kama huyu koplo ana low IQ,wewe na mwindaji wa tembo,mko bellow average.
yule anazeeka tutamsamehe,bahati mbaya wewe utakuwa ni kijana wa hovyo una 34yrs tu.
Ila ukweli utabaki palepale hao jamaa ni wala rushwa sana barabarani kuliko kusimamia vyombo vya moto...Kila siku wanazika watu, wanalemaa, ukienda hospitalini majeruhi wa ajali wamejaa, nchi ambayo Dereva amebeba roho za watu zaidi ya 50 anakuja asubuhi kuanza safari amelewa tayari.
Kiongozi wao anasema Polisi waondoke barabarani kwamba wanagasi madereva, swali ni kwamba and it’s rhetorical, je, Polisi huwa anakuonea akikumata au ni kweli unakuwa na kosa?
90% ya ajali Tanzania ni uzembe wa madereva au kutokufwata Sheria za barabarani, kwa nchi kama Tanzania ile tu kujua kwamba kuna Polisi barabarani kunaokoa maisha ya watu wengi tu, lkn leo hii some psychopaths wanaondoa Polisi na anasifiwa, lkn yeye ajali hazimhusu kwani ana msafara kila mahali.
Jamii yenye low IQ ni ile isiyoweza kujifunza na kurudia makosa yale yale kila siku, mpaka siku lori au basi linaloendeshwa na Mlevi limalize familia yako yote mkiwa njiani kwenda Xmas labda akili itawajia waliobakia, …
unamtegemea kinana akusaidie kwenye kupasuka 2000😅😅😅Pita kule koplo
Tafuta income nyingine
ukiwa road una chaguo mbili,kulinda usalama wa nafsi yako na wengine au kulinda buku mbili isiondoke.Ila ukweli utabaki palepale hao jamaa ni wala rushwa sana barabarani kuliko kusimamia vyombo vya moto...
Wapunguzwe tu..
msitetee vitu kama hivi hamna uzoefu navyo, gharama za camera zinazidi yale ma v8 na 1HZ za makatibu wa mikoa wa CCM?Kuweka kamera kila mahali ni gharama na hawawezi kumudu na ndiyo maana badala yake Polisi wanakaa barabarani, nchi nyingine hauoni Polisi kwa maana wana teknolojia lkn hata hizo nchi kabla ya kutajirika ziliweka polisi barabarani pia!
Hata kampala wamezifunga sana ajabu ipo kwetu tuu eti gharama!Jiji la Nairobi nchini Kenya limejaa camera Barabarani wao walipata wapi hizo fedha Za kuweka camera? Tanzania trafic ni kitengo cha IGP, na MaRPC
Mbona JPM hakupendwa na wapigaji? Ni kweli watanzania bado sana kuwa na kiongozi anayewarumbulia macho. Anatakiwa chuma kwelikweli.Hapo umenena. Nchi zetu hizi watu hatujastaarabika sana, kwa hiyo bado tunahitaji usimamizi wa karibu sana.
Sasa anatokea mlevi mmoja tu eti Police wamejazana mno Barabarani, watu wanashangilia.
Ni shida kweli kweli.
Tusimamie hilo tupaze sauti eneo hilo,ki ukweli kasoro pekee ya Trafiki nchi ya Tanzania ni RUSHWATRafic anacheza kikoba Cha laki 1 ataAchaje kukubambikia kosa
stop over,bucha na ubungo maji, ukikunja kulia unawakuta river side,external,mwananchi,tabata njia panda ya segerea,buguruni_tazara,sokota,taifa na uhasibu. imagine hapo sio kilomita hamsini tazama uwingi wao.Kimara hadi Ubungo kuna vituo vitatu vya askari wa barabarani...
Kazi yao kukusanya mpunga tu
mkuu hivi kuna trafiki anaekosa makosa ya gari?Kwa nn utoe rushwa kama huna kosa??
Kukomesha ushenzi wote kutoka pande zote zinazosimamia matumizi ya barabara ni muhimu tufuate ushauri wa DCP mmoja aliyewahi kushauri ufungwaji na matumizi ya Camera ambapo alisema hiyo pia itakuwa ni muarobaini kwa bodaboda lakini bahati mbaya ushauri wake ulitupwa na yeye akang'olewa pale juu ..Binafsi sioni kama uwingi wa Traffic ni tatizo bali tumelemaa mno na traditional tactics badala ya kwenda kidigitalimsitetee vitu kama hivi hamna uzoefu navyo, gharama za camera zinazidi yale ma v8 na 1HZ za makatibu wa mikoa wa CCM?
Hapa Uganda sehemu nyingi sana wamefunga camera na hakuna kabisa usumbufu wa askari barabarani na hata matukio ya ajali. hakuna kaa kwetu.
Ukitaka kujua kuwa askari wetu wamezidi usumbufu ingia barabarani na magari tofauti tofauti halafu uone kama haya yanayosemwa ni uongo ama kweli.
Binafsi nimetumia vyombo vingi vya usafiri kwenye majukumu yangu hivyo najua adha iliyopo kuna magari nikitumia huwa sisimamishwi wala kusogelewa na askari zaidi atakuita upite haraka na kuna gari nikitumia askari akiiona tu udenda unamtoka.
Ni muda wa kuwa na sheria kali kwa madereva wazembe na wavunja sheria makusudi na ni muda wa kuweka camera kuepukana na kero ya askari hao cha msingi mifumo iwe active muda wote.
Kwa dar waweke kamera. Lkn swali hivi katikati ya miji yetu kunakuaga na ajali sana. Make ajali nyingi hutokea nje ya mji ambapo magar hua yanakimbia sana.Niambie hata mmoja aliyecheleweshwa makusudi zaidi yako.
Mimi natamani Polisi wapangwe Dar hadi Tunduma maana sijawahi kuona ajali inayotokea mbele ya Traffic. Zaidi nawaona traffic wakikimbizana kwenda eneo la ajali toka kwenye point zao za ukaguzi. Nachukia matendo ya polisi wahalifu lakini hili la Traffic kupunguzwa hasa kwa Dar na madereva wetu tunaowajua wamejaa stress!!