Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?
JF kungekuwa na kula kiapo watu wengi wangeadhibiwa sana
Sawa kabisaa...very good memory...
Dr. Slaa kwa sasa inabidi ajue, UKAWA inataka USHINDI tu...
Sijui nn kinamsumbua...!!! inabidi akubali, ili atakuwa hata waziri Mkubwa tu...
Dr. Slaa lazima akubali siasa kama za Kenya ili kuleta Ushindi... sijui hajifunzi Kenya hapo jirani tu
Mlikuwa mnaipinga leo mmeiona poa, tulieni dawa iwaingie na lichama lenu mlilo wakabidhi MIUNGUMTU nyie mpo kama fuata upepo, JAMANI SURUHISHO NI ACT pekeeHivi hii sheria mpya ya makosa ya mtandao haijaanza kufanya kazi kweli?
Mkuu, haikosi ulizaliwa kwenye maulid!