Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

Yaani Dr. Slaa angekubali tu, hivi kwanini haelewi kuwa akichukua nchi, Dr. Slaa anaweza kuwa Waziri wa Fedha, Mbowe Waziri Mkuu kisha Lowassa Rais...

Nchii ya Tanzania ingebadilika mwaka mmoja tu, kuwa kama Ulaya...

Dr. Slaa ana nn lakini..!?
 
kama mlishindwa huko huko magamba, msilete kansa yenu CDM.
 
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?

acha kudanganya watu, kumbe ndio maana lile bandiko lako una li post kila sehemu, unataka kutuaminisha Lowassa ni msafi zaidi ya Magufuli?!
 
Propaganda at work... Ukweli ni kwamba. Katu hatuwezi kuchagua mtu aliyehonga nyumba ya umma. Sasa anatofauti gani na aliyehonga vyeo.
 
Sioni taabu ya nini kwa Slaa kukataa wakati Mkakati ni Kushika dola... alikuwa tayari kumchukua Sitta Enzi zile atashindwa nini kumchukua Lowasa mwenye mtaji Mkubwa wa watu wa ndani ya CCM ?

Sawa kabisaa...very good memory...

Dr. Slaa kwa sasa inabidi ajue, UKAWA inataka USHINDI tu...

Sijui nn kinamsumbua...!!! inabidi akubali, ili atakuwa hata waziri Mkubwa tu...

Dr. Slaa lazima akubali siasa kama za Kenya ili kuleta Ushindi... sijui hajifunzi Kenya hapo jirani tu
 
Kwa nini uandike uwongo....ni faida gani unazipata kwa kuandika uwongo.....yakitokea madhara kwa uwongo wangu utafaidika nini
 
Sawa kabisaa...very good memory...

Dr. Slaa kwa sasa inabidi ajue, UKAWA inataka USHINDI tu...

Sijui nn kinamsumbua...!!! inabidi akubali, ili atakuwa hata waziri Mkubwa tu...

Dr. Slaa lazima akubali siasa kama za Kenya ili kuleta Ushindi... sijui hajifunzi Kenya hapo jirani tu

Binafsi kwanza siamini kama ni kweli kuhusu huo mpango wa kumvutia Lowassa chadema ili awe mgpmbea wao. Ila hata ingekuwa kweli mimi ningalimuunga mkono Dr. Slaa kwani kukubali kufanya hivyo ni kujimaliza mwenyewe kisiasa na kijamii. Dr. Slaa alisimama Mwembeyanga akamtaja Lowassa hadharani kwenye List of Shame! Pia kule Arumeru alimnanga kweli kweli! Leo hii akubali kumpokea, kwani huyo Lowassa amekula maharage ya wapi yakamsafisha ufisadi wake? Falsafa ya kutafuta ushindi hata kwa kutumia watu wasiofaa ni kujipinga wenyewe!
 
Mapengo 17

hizi ni taarifa, mawazo, maoni, utafiti au ndo unataka kutunga kitabu?
 
Last edited by a moderator:
Ukawa walianza vyema ila mwisho mbaya mbaya! hawaeleweki tena wajameni!
 
Hivi hii sheria mpya ya makosa ya mtandao haijaanza kufanya kazi kweli?
Mlikuwa mnaipinga leo mmeiona poa, tulieni dawa iwaingie na lichama lenu mlilo wakabidhi MIUNGUMTU nyie mpo kama fuata upepo, JAMANI SURUHISHO NI ACT pekee
 
Mkuu, haikosi ulizaliwa kwenye maulid!

Nilikua nakuonaga mtu wa maana sana kumbe umejawa na roho ya chuki ya udini dhidi ya uislam.
Umekosa maneno yote kabisa ya kumtukana huyo mtu hadi utumie neno MAULID kama tusi?
Umenikera sana.
 
Naanza kushawishika kuwa lowassa apewe second chance na UKAWA
 
Back
Top Bottom