Elections 2015 Lowassa: Tusipopata mabadiliko CCM Wananchi watatafuta nje ya CCM

CHADEMA wakimchukua Lowassa watajivua nguo hadi aibu
 
Mkuu unatumia nguvu sana, kunani??

Masaa kadhaa tu ushapost nyuzi zaidi ya 3 za huyo bwana..


Roho wa Mungu kaonyesha Lowassa ndie Kiongozi wetu thru CCM...pia UKAWA washamkubali na kusema waziiii leooo.... So Ukimuonea Mungu aibu, nae atakuonea aibu ktk ufalme wake...Asante Mungu, waonyeshe kweli hawa watu...!!! Wajue Lowassa ndio chaguo sahihi toka kwako...!!! wengi matomaso bado...!!!
 

Mungu, mtu wako huyu anaangamia kwa kukosa maarifa.... mchukue leo hii hii hajui alitendalo hapa duniani...!!! Anashindana na ww Mungu uliyemuumba, muonyeshe ww ni Mungu...sasa hivi...!!!

Mungu our heavenly father, huyu mwingine... mpe haki yake, ajue hakika ww ni Mungu, hawa watu bila ACTION wataendelea kukudharau Mungu... mpe haki yake haraka sana...!!!🍁


Wanajimu kazini.
Mwenzako Shekh Yahya alivyotabiri akashauriwa atubu,LA sivyo atakufa.
Sasa najua unajua kikichompata
 

sawa team #Makonda ila na yeye ni team #Membe
 
hahaa yani mafisadi hayumuogopi hata Mungu au mnazani atahitaji za richmond.
 

Kwani wapi nimesema namkubali au simkubali?? Nimekuuliza tu hizi nguvu zote za nini??
 
mtoa maada hujaeleweka maelezo yako hakuna sehemu uliposema EL amepanga kuhamia CDM wala hakuna uthibitisho kutoka CDM/UKAWA.!
 
Mungu our heavenly father, huyu mwingine... mpe haki yake, ajue hakika ww ni Mungu, hawa watu bila ACTION wataendelea kukudharau Mungu... mpe haki yake haraka sana...!!!🍁

Umekula maharagwe ya wapi wewe!?
 


Wajinga Ndiyo waliwao... Unachekelea kwa hela zako kuliwa? Shame on you
 
kuleta mabadiliko kupitia ccm ni ndoto. kuondoa mfumo wakulindana ndani ya ccm ni kuiua kabisa ccm.lohasa ni zao la ccm. hana jipya..
 
Uchaguzi Mkuu utavurugwa na hali ya nchi itakuwa tete...

JWTZ wataingilia uchaguzi na kuingia mtaani..

Ile pesa ya ESCROW (billioni 200) itatumika kuparalyze system na NEC hawatakuwa na meno..

Shillingi itaporomoka maradufu kuanzia 2500 - 2800 kwa dola moja ya US $.

Mfumuko wa bei utakuwa mkubwa

Pesa za ESCROW zitahonga watu sana....(zile pesa walizobeba kwa rumbesa, salfate, magunia, rambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…