Eeeh, Mungu ukisema ww nani mwingine atapinga..!!? Hakika hakuna..!!
Tunakupa sifa na utukufu kwako kumleta mwanao wa pekee, na hata ukatupenda watanzania na CCM yetu, ukatuletea Lowassa kwa wakati sahihi...!!!
Mungu na mapenzi yako yatimizwe Duniani na hata Mbinguni...!!! 🌈🌈🐒🐒🐒🐒
Umekula maharagwe ya wapi wewe!?
Kale malimaooooooooooooooooo....!!!
CCM watampitisha Lowasa........
Uchaguzi Mkuu utavurugwa na hali ya nchi itakuwa tete...
JWTZ wataingilia uchaguzi na kuingia mtaani..
Ile pesa ya ESCROW (billioni 200) itatumika kuparalyze system na NEC hawatakuwa na meno..
Shillingi itaporomoka maradufu kuanzia 2500 - 2800 kwa dola moja ya US $.
Mfumuko wa bei utakuwa mkubwa
Pesa za ESCROW zitahonga watu sana....(zile pesa walizobeba kwa rumbesa, salfate, magunia, rambo
BAVICHA pia wamemkubali sanaaa...Mungu ni wa ajabu sana...jiwe la pembeni walilolikataa waashi limekuwa jiwe kuu...
Una kipaji cha kuimba taarabu mtafute mzee Yusufu utatoka.
Iringa 58,000? basi kama ni yake yake tu!...maana asiyesikia la....huvunjika.... if you can't fight, join him
CCM ni lazima wampitishe Lowasa
Uchaguzi Mkuu utavurugwa na hali ya nchi itakuwa tete...
JWTZ wataingilia uchaguzi na kuingia mtaani..
Ile pesa ya ESCROW (billioni 200) itatumika kuparalyze system na NEC hawatakuwa na meno..
Shillingi itaporomoka maradufu kuanzia 2500 - 2800 kwa dola moja ya US $.
Mfumuko wa bei utakuwa mkubwa
Pesa za ESCROW zitahonga watu sana....(zile pesa walizobeba kwa rumbesa, salfate, magunia, rambo
Kwa hiyo?
figganigga nakuheshimu sana,kumbe na wewe machepele