Elections 2015 Lowassa: Viwanda bila elimu ni sawa na kazi bure

Jamani toka nyerere upo, ulikuwa wapi kutoa ushauri huo!
 
MITAMBO YA KUCHAKATA UMEME WA GAS SIYO YA SERIKALI NI MALI YA MTU BINAFSI.

chongchung 15:50 Today

Gazeti la mwananchi la Leo linasema... jiandaeni kwa mgao ambao haujawahi kutokea wa umeme baada ya TANESCO kushindwa kulipa mpaka sasa kampuni iliyobaki ikizalisha umeme mwingi.

Baada ya mabwawa yoote kukauka na kampuni hiyo kunuia kuzima mitambo yake ifikapo wiki ijayo kama hawatalipwa pesa zao mpaka sasa mkurugenzi wa tanesco anahaha kusaka pesa hazina.

source mwananchi

Sijamuelewa vizuri simbachawene

Katika hali isiyo ya kawaida mheshimiwa Waziri wa Nishati Madini, George Simbachawene kwa mara ya kwanza amesema kuwa mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia gesi kutoka Mtwara iliyojengwa eneo la Kinyerezi, Dar ni MALI YA WATU BINAFSI NA SIO MALI YA SERIKALI.

Kauli hiyo imewashangaza watu wengi kwa kuwa mara zote serikali ilikuwa ikisema mitambo ile ni mali ya umma na inajengwa kwa pesa za serikali sambasamba na ujenzi wa bomba la gesi kutoka Mtwara na Mitambo ile mradi wa serikali chini ya TANESCO.

Jamani naomba mniambie Kikwete amelifanyia nini hili Taifa kwa miaka 10 tumeambiwa mradi huu umeigharimu Tanzania dola million 100 tena mkopo Kumbe mradi wa company fulani na haumilikiwi na serikali.

Na bado tunaambiwa tusubirie miaka 7 ndio wachina watuachie GAS.

Navumilia kuwa Mtanzania Lowassa tuokoe watanzania.

SHARE ujumbe huu kwa watu wengi zaidi ila kuwaamsha watanzania usingizini bila kujali chama gani sababu umeme ni wa wote.
 
..... Sounds too partisan....!Not sure about that
 
So, the current plants/factories we do have now, how are we operating them? The dude is a fool and dumb.

Can u mention any factory Owen by government of Tanzania???
 
dist111 we kwel bogus tatzo c kua na vyuo vingi tatzo n elim gn wanaipata we hujiulz kwa nn wakenya wanatuzd kete na kngine elim ya sasa inatakiwa ikisaidie kua mbunifu na co kutegemea kuajiriwa shtuka ww
Wenzio tunaijua elimu ya TZ sio kama wewe unayekurupukakurupuka tu! tunaposema elimu ya TZ imeongezeka tunaushahidi, ukitaka details nifuate pm nikupe details? Acha kuwasikiliza wanasiasa,
Sasa n wakati wa vijana kutafutiwa kazi,kazi zenye tija sio bodaboda tena, na elimu iendelee kuboreshwa (uboreshwaji hauishi)
 

Mwenzio ninazungumza kwa data, na experience sio natumia mihemko kama wewe,uliza kuna maPhD holder wangapi wanasoma japan,china,korea,marekan na ujeruman ukiacha hizo nchi nyingine! wangapi wamehitimu ndani ya miaka miwili iliyopita, sijazungumzia wanaolihitimu masters wala waliohitimu degree ya kwanza hapo bongo!

tumia kichwa kufikiri na siasa zisipotoshe ukweli wa mambo! sasa n muda wa viwanda, wasomi tunao wakutosha kutosogeza for next 10years
 

Hiyo kauli ipo sawa kbs 100%. Soma mapinduzi ya china,Britain na nchi zozote duniani,bila kuwa na elimu can do nothing. Vitu vingine hautaji kufika kindergarten ili ujue ni sawa au si sawa.
 
Ananiuzi sana anapoponda elimu, kwamba madaktari Bingwa, wahasibu wenye ACCA, Mapurofesa wote hao hawawezi kupata Ajira nje ya nchi??? Kweli???? Kazi zipi hizo ambazo sisi tuliosoma TZ hatuwezi kuzifanya???? Kuanzia sasa me na ukawa basi. Huwezi kuniambia Elimu ya Tanzania ni Zero, haiwezekani...Me nafanya kazi na watu wa nje na still they appreciate..
 
Kwenye ilani ya CCM elimu imepewa kipaumbele! Sasa huyo fisadi anazungumzia elimu ya aina gani?

Niandike kwa ufupi tu, duniani hakuna nchi inayotaka kuendelea ikakosa viwanda!

Ndgu msidanganye watu...Viwanda mtaviendesha kwa KUNI? ikiwa hadi leo mnatupimia UMEME kwenye vibakuli wacheni upuuzi
 
Vijana wa engineering wapatao elfu kumi wanagraduate kila mwaka na hawana ajira yeye analeta porojo..?
 

Uzuri wa elimu mimi naona kwa upande wa uelewa na kutodanganyika. Uchaguzi wa mwaka huu ni mgumu kwa ccm kwa vile wasomi wameongezeka. Wasomi wakiongezeka watawala wanakuwa na hofu ya kuharibu/au kudanganya na hivyo maendeleo yanakuja. Elimu, elimu, elimu.
 

Umuhimu wa elimu upo lakini isiwe sababu ya ku undermine other sectors majukwaani hiyo elimu ya bure bila production ya kueleweka itakuwaje sustainable??!!

Tunahitaji viwanda much as tunataka social services ziboreke
 
dist111 acha ujinga ww hao wanaosoma nje n impact gan wameleta nchin, kwa kujishushia hadhi kwa uelewa duni elimu ya tz haimuandai kijana kua mbunifu bal n elim ya kukariri tuu utasema una wasomi akati kwenye taasis mbalmbal wanashka nafac za juu n wakenya na waganda kwel we n mbumbumbu asee
mtu mzma unaongea utumbo kiac hcho ptuuuuu!!!!!! elim ikukomboe we mwenyewe na co kutegemea kuajiriwa. china waliwekeza kwanza kwenye elim kwa kubadilisha mifumo ya elim kuendana na technolojia. kwa elim mbovu ya tz hata usomeshe wtu wote ujinga utakua mulemule acha upimbi wewe
 
Last edited by a moderator:
Lowasa kusema vipaumbele vyake vikubwa ni hivi hakukosea kabisa-
1-Elimu
2-Elimu
3-Elimu
sasa Magufuli anasema atajenga viwanda je hivyo viwanda vitatumia power bank?
 
mimi sijaelewa kitu kimoja hapo kwa hiyo gesi ya mtwara siyo mali yetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…