Lucas Mwashambwa toa maoni yako kuhusu kauli ya Rais Paul Kagame

Very good theoretically,very poor practically!
Huyu kagame hamnaga kitu kichwani huyu anachukua waomba hifadhi waliokimbizwa uk??
 
Ujinga wa miaka 300 iliyopita bado wanao viongozi wengi sana kwenye nchi za kiafrika

Naona ni ugonjwa wa akili sio bure
Haiwezekani unajua kabisa unaomba ili uibe
 
Kwamba kagame Hakopi ? Tena yeye ndo ameshindikana mpaka anajitwalia mali za nchi za waafrica wenzao kwa Mabavu
Mr Kukwapua namba moja. Amejimilikisha maeneo ya Congo mpaka wanapigana na Uganda kwa rasilimali ambazo siyo zao.
 
PK yuko sahihi. Viongozi wengi wa Afrika wana uwezo mdogo wa kufikiri. Haiwezekani nchi yako ina raslimali za kila aina! Halafu bado unaendekeza umatonya.
Ni kama mwanamke malaya tu
Ana mume, anafamilia bora lkn kutwa kutembeza papa nje.
Afrika ina viongozi wachache waliowahi kujitambua na kuthamini utu wa mwafrika mweusi.
Paul Kagame
Pombe Magufuli
Patrick Rumumba
Julius Nyerere.
Wengi waliopo hawaamini ktk kujitawala. Hawathamini uhuru wala sovereignity
Hawataki kulindwa na wananchi wanaowaongoza ila wanaamini wapo salama zaidi wanapolindwa na mataifa ya nje.
Ndio sababu wanagawa rasilimali na uhuru wa vizazi vijavyo.
Waafrika weusi bado tunasafiri ndefu sana. Unafiki ndio chanzo .
 
Mr Kukwapua namba moja. Amejimilikisha maeneo ya Congo mpaka wanapigana na Uganda kwa rasilimali ambazo siyo zao.
Bora yeye anatafuta nje analeta ndani.
Wa kwenu wanatoa ndani wanapeleka nje.
Kiongozi shupavu ni yule anaetanua himaya yake
 
Huyo mtusi achana naye anaakili na maarifa kuzidi viongozi wote wa Afrika mashariki na ukanda wote wa kusini.
Kumbuka hayati Mtikila aliwahi sema huyo mtusi kaingiza vijana wake zaidi ya 1000 kwenye wizara nyeti ndani ya serikali yetu.
Bado unamchukulia poa?
 
Ujinga wa miaka 300 iliyopita bado wanao viongozi wengi sana kwenye nchi za kiafrika

Naona ni ugonjwa wa akili sio bure
Haiwezekani unajua kabisa unaomba ili uibe
Nimecheka sana kwa huzuni.
"Wanaomba ili waibe"
Huu ni utaahira aysee,
wewe ni kiongozi inakuwaje tena wewe ndio unakwiba?
 
Umemaliza mjadala.Twakuunga mkono asilimia 100.
 
Acha dharau zako wewe. Mimi nimepiga shule sana na nilikuwa kinara wa kuongea kizunguu kwenye mijadala shuleni mpaka wanafunzi wanashangilia kwa kelele za shangwe huku wanabubujikwa na machozi ya furaha.
Mkuu hata kuchapia pia huleta vicheko, toa comment kama ulivyoombwa Mkuu.
 
✍️📝👍👌👊🙏
 
Hizo aibu Magufuli hakuzitaka, hakuna wskukujengea nchi na Kwa sera za Rais Samia kamwe hatokuja kukuza uchumi imara Kwa nchi hii
Hahahah, pole mkuu kumbe ule ulaghai wa Juwe ulikuwa unauamini!!!
 
Kwamba kagame Hakopi ? Tena yeye ndo ameshindikana mpaka anajitwalia mali za nchi za waafrica wenzao kwa Mabavu
Kagame anazungumzia viongozi kutoka nchi zenye Rasilimali nyingi kama Tanganyika. Muwage mnasoma na kuelewa
 
Nimecheka sana kwa huzuni.
"Wanaomba ili waibe"
Huu ni utaahira aysee,
wewe ni kiongozi inakuwaje tena wewe ndio unakwiba?
Hawana akili mkuu, wanaomba ujenge barabara halafu kila leo ajali
Wanaomba za madawa, na watoto wanakufa kila leo
Wanaomba za shule huku vyoo wanashindwa kujenga
Hizo hela huwa wanagawana wao bila aibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…