Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Kichaa katoka mafichoni.Asitupangie hapa
Sisi ni lazima tumpongeze na kumtia moyo mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania kwa kuwa pasipo uzalendo wake basi angeweza kutapanya pesa hovyo kwa mambo yasiyo na tija kwa wananchi.lakini tunaona namna Rais wetu ambavyo amekuwa akitoa hela kupeleka katika kutoa na kusogeza huduma karibu na mtanzania. Kama anaumia sisi kumpongeza Rais wetu basi achukue Fomu agombee aone kama hajakosa kura hadi ya mtoto wake.
Kwanza kwa mtu anayejitambua, kusifiwa na kichaa au punguani, inakuwa ni kama balaa. Ni sawa mtu utoke nje, uone fisi wanatikisa mikia kukufurahia.
Pongezi yenye thamani ni ile unayopewa na mtu mwenye akili timamu na kwa jambo halisia. Hivi usifiwe na Mwashambwa unaweza hata kutoka mbele ya watu na kusema kuna watu wamenipongeza?