Ludovick Utouh: Tusijikombe sana, fedha ni za Umma sio za Rais

Kwa kuwa Tanzania tuna culture (utamaduni) ya shukrani basi tuishukuru serikali na tusimshukuru mtu kwa kuwa hizi fedha na rasilimali ni fedha zetu sisi wananchi, sio matumizi yake ni matumizi ya fedha zetu wananchi na hivyo hatuwajibiki kumshukuru an individual (mtu).[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu atakuwa anatumika kisiasa!😂
Anatumika na mabeberu!😂
 
Yupo sawa, niujinga ulio pitiliza kushukuru mtu anae tekeleza majukumuyake.



Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Wanaofanya hivyo hawafanyi kwa bahati mbaya bali wameshajua mapungufu ya malkia wa kaya......hayo mapambio nyuma yake yana matarajio makubwa ya kupata chochote kitu..........

Kwa lugha nyepesi wamekuwa machangudoa wa kisiasa Ili kukidhi mahitaji ya matumbo yao......

Nje ya sifa na mapambio ni watu wazima wenye akili timamu wanaojua wanafanya nini maishani mwao......


Vijana wanasema mjini mipango.....
 
Huyu nae mnafiki tu...mbona hakusema hayo kipindi cha mwendazake?
Maana hii misemo ilianza kipindi cha jiwe..

Wasomi wetu mirija ikianza kikata ndo wanajifanya great thinker...
Humjui Uttoh....
Jaribu kumfuatilia alafu uone kama utaandika hivi
 
Huyu mzee watamuua
 
Wanamtanguliza wanapiga pesa za umma
 
Fedha ni za umma kweli lakini katiba imemmpa mamlaka na nguvu za kisheria, kuwa mdhamini wa fedha za umma. Exchequer account na BOT vipo chini ya uangalizi wake.
 
Huyu amechanganyikiwa, akae kimya hana jipya
 
Akatae kama Nyerere alivokataa kuitwa mheshimiwa.
 
Walioteuliwa wote wamegeuka machawa ili kulinda nafasi zao, kwa kifupi ili upate nafasi kwenye serikali kua chawa tuu msifie bibi chaudele kwenye Kila jambo lazima utoboe
 
Hakika yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…