Ludovick Utouh: Tusijikombe sana, fedha ni za Umma sio za Rais

Kichwa chako na boga havina utofauti! Tena heri ya boga ndani yake kuna mbegu! Ila kichwa chako Kiko tupu kabisa !
 
Kwenye sifa ni sawa.... Mambo yakiharibika wanasukumiwa watendaji. Kama anataka sifa akubali pia na lawama... Nyie MACHAWA Wapumbavu sana.
 
Kama anakerwa na yeye agombee Urais Ili tuseme Rais Utour katoa 🤣🤣

Wivu tuu hamna kingine kisa walitegemea ashindwe ila Sasa ameshinda.
 
Unaishukuru serikali kwa kuwa inalipa kodi? Inapotoa pesa maana yake inatoa pesa za walipa kodi, hata kama ni mikopo hiyo ni watanzania tutalipa , hivyo sioni sababu ya kuishukuru serikali, labda kuipongeza kama kuna haja ya kufanya hivyo.

Mzee unamshukuru mtu ambaye umempa kazi na ameiteleza? Hilo hapana .
 
Ujumbe umefika sawa kabisa!
 
Yaani unaenda kutoa Hela zako benki kwenye ATM halafu ukipata unaishukuru ATM kwa kutoa Hela zako! Huu ujinga umejaa kwa watumisghi wa serikali.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…