Sikuizi utaambiwa ni utumwa huo.Unakumbuka yale mashindano ya coka cola, vyuo vikuu Africa mashariki? Ilikuwa kichekesho kwa Tz. Tuseme hivi " ili upewe degree yako katika fani yoyote ni lazima uwe unaongea kiingereza kwa ufasaha na kuandika ".
Hujaonesha kuwa wanaoua ni illegal immigrants. Hujaonesha kuwa ongezeko la mauaji limetokana na ongezeko la illegal immigrants.Kuna illegal immigrants wengui wanaingia uk, Sio visu tu bali sex grooming kwa watoto, ni mambo yaliyoanza kwa kasi kwasababu ya illegal immigration
View attachment 3090243
View attachment 3090244
Naona tuishie hapa, tusije vuruga post, ntaweka uzi maalum.Hujaonesha kuwa wanaoua ni illegal immigrants. Hujaonesha kuwa ongezeko la mauaji limetokana na ongezeko la illegal immigrants.
Yani inawezekana kabisa idadi ya madaktari ikaongezeka, halafu na idadi ya mauaji ikaongezeka, ukahitimisha kuwa kuongezeka madaktari kunasababisha mauaji yaongezeke, tupunguze madaktari.
Correlation does not equal causation. Inabidi uoneshe causation, siyo correlation tu.
Mimi niliondoka Tanzania kwa kutambua kuwa naondoka kimoja, kurudi labda likizo tu.Naona tuishie hapa tu tusije vuruga post,
So una mpango wa kurudi bongo kula pensheni au unabaki majuu
Ni kweli ukipazoea nje ni ngumu sana kurudi bongo kwasababu kuna ajira nyingi ukiwa na elimu (wahindi na wanigeira wamenufaika nazo mno), mazingira safi, huduma bora za kijamii, rushwa kidogo, n.k.Mimi niliondoka Tanzania kwa kutambua kuwa naondoka kimoja, kurudi labda likizo tu.
Na mpaka leo sijabadilisha mawazo.
Mkuu,Ni kweli ukipazoea nje ni ngumu sana kurudi bongo kwasababu kuna ajira nyingi ukiwa na elimu (wahindi na wanigeira wamenufaika nazo mno), mazingira safi, huduma bora za kijamii, rushwa kidogo, n.k.
Mkuu ukifika 60s kama vipi rudi kijijini kwenu, jenga kajumba ka retirement ka dola elf 30 ule pensheni mdogo mdogo unapoteza muda kwenye kilimo au ufugaji na kujitolea vitu kadhaa kwenye jamii, Najua mjini ni ngumu kurudi kwa umri wako kama uliondoka zamani sana
Washageuza mfumo,tatizo shule za msingi nyingi hakuna walimu wazuri,nao walikosa misingi ama walipuuza kwa kudhani lugha hiyo ni ngumu.Mfumo wa elimu ugeuzwe uwe kwa kingereza kwanzia chekechea mpaka majuu.. tofauti na hapo tutumia sana. Kiswahi kibaki kuwa lugha ya kuwasiliana nyumbani na wazazi wetu maana hakuna taasisi inayotumi mifumo ya technologia kwa kiswahili au interview inayoendeshwa kwa kiswahili popote pale hii inaonyesha kuna nana kiswahili bado sana
Umesalimu amri mapema baada ya kuona unaanza kujichanganya na kujikanganya...😂Naona tuishie hapa, tusije vuruga post, ntaweka uzi maalum.
So una mpango wa kurudi bongo kula pensheni au unabaki majuu
Waethiopia na Wasomali wako wengi Europe na North America na hawajui English vizuri,Sababu kubwa inayotukwamisha kwenda majuu ni taratibu za kufuata ili kufika huko. Lugha sio kigezo kikuu