Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

Lugha ni kitu kinachowanyima watanzania confidence ya kwenda majuu na wengi wanaofika wanapata ugumu kimawasiliano, kimbilio pekee huwa ni wakenya.

Unakumbuka yale mashindano ya coka cola, vyuo vikuu Africa mashariki? Ilikuwa kichekesho kwa Tz. Tuseme hivi " ili upewe degree yako katika fani yoyote ni lazima uwe unaongea kiingereza kwa ufasaha na kuandika ".
Sikuizi utaambiwa ni utumwa huo.
 
Kuna illegal immigrants wengui wanaingia uk, Sio visu tu bali sex grooming kwa watoto, ni mambo yaliyoanza kwa kasi kwasababu ya illegal immigration

View attachment 3090243

View attachment 3090244
Hujaonesha kuwa wanaoua ni illegal immigrants. Hujaonesha kuwa ongezeko la mauaji limetokana na ongezeko la illegal immigrants.

Yani inawezekana kabisa idadi ya madaktari ikaongezeka, halafu na idadi ya mauaji ikaongezeka, ukahitimisha kuwa kuongezeka madaktari kunasababisha mauaji yaongezeke, tupunguze madaktari.

Correlation does not equal causation. Inabidi uoneshe causation, siyo correlation tu.
 
Kipindi tunasisitiziwa tuongee kingereza shuleni basi madarasa yote kimyaa, utadhani hakuna wanafunzi, siku Sasa ya kuongea kiswahili darasa kama soko la viazi ni kelele mtindo mmoja... Hata cha kuombea maji ni muhimu sana.
 
Japo sifahamu kingereza ila kuna mama mmoja wiki jana alikuwa anasoma salamu za nchi kumponeza dr Ndugulile kwa kimombo mpaka nikaona aivu mimi
 
Hujaonesha kuwa wanaoua ni illegal immigrants. Hujaonesha kuwa ongezeko la mauaji limetokana na ongezeko la illegal immigrants.

Yani inawezekana kabisa idadi ya madaktari ikaongezeka, halafu na idadi ya mauaji ikaongezeka, ukahitimisha kuwa kuongezeka madaktari kunasababisha mauaji yaongezeke, tupunguze madaktari.

Correlation does not equal causation. Inabidi uoneshe causation, siyo correlation tu.
Naona tuishie hapa, tusije vuruga post, ntaweka uzi maalum.

So una mpango wa kurudi bongo kula pensheni au unabaki majuu
 
Naona tuishie hapa tu tusije vuruga post,

So una mpango wa kurudi bongo kula pensheni au unabaki majuu
Mimi niliondoka Tanzania kwa kutambua kuwa naondoka kimoja, kurudi labda likizo tu.

Na mpaka leo sijabadilisha mawazo.
 
Mimi niliondoka Tanzania kwa kutambua kuwa naondoka kimoja, kurudi labda likizo tu.

Na mpaka leo sijabadilisha mawazo.
Ni kweli ukipazoea nje ni ngumu sana kurudi bongo kwasababu kuna ajira nyingi ukiwa na elimu (wahindi na wanigeira wamenufaika nazo mno), mazingira safi, huduma bora za kijamii, rushwa kidogo, n.k.

Mkuu ukifika 60s kama vipi rudi kijijini kwenu, jenga kajumba ka retirement ka dola elf 30 ule pensheni mdogo mdogo unapoteza muda kwenye kilimo au ufugaji na kujitolea vitu kadhaa kwenye jamii
 
Ni kweli ukipazoea nje ni ngumu sana kurudi bongo kwasababu kuna ajira nyingi ukiwa na elimu (wahindi na wanigeira wamenufaika nazo mno), mazingira safi, huduma bora za kijamii, rushwa kidogo, n.k.

Mkuu ukifika 60s kama vipi rudi kijijini kwenu, jenga kajumba ka retirement ka dola elf 30 ule pensheni mdogo mdogo unapoteza muda kwenye kilimo au ufugaji na kujitolea vitu kadhaa kwenye jamii, Najua mjini ni ngumu kurudi kwa umri wako kama uliondoka zamani sana
Mkuu,

Maisha yangu unanipangia wewe hata baada ya kukuambia sina mpango wa kurudi Bongo?

Wewe unafikiri hizo habari zote mimi sizijui?
 
Mfumo wa elimu ugeuzwe uwe kwa kingereza kwanzia chekechea mpaka majuu.. tofauti na hapo tutumia sana. Kiswahi kibaki kuwa lugha ya kuwasiliana nyumbani na wazazi wetu maana hakuna taasisi inayotumi mifumo ya technologia kwa kiswahili au interview inayoendeshwa kwa kiswahili popote pale hii inaonyesha kuna nana kiswahili bado sana
Washageuza mfumo,tatizo shule za msingi nyingi hakuna walimu wazuri,nao walikosa misingi ama walipuuza kwa kudhani lugha hiyo ni ngumu.
 
Hizo fursa za kwenda majuu hazijapatikana

Lugha sio tatizo Kama unavyotaka kukuza .

Serikali yetu imepiga pini mambo mengi sio Kama Kenya.
 
Naona tuishie hapa, tusije vuruga post, ntaweka uzi maalum.

So una mpango wa kurudi bongo kula pensheni au unabaki majuu
Umesalimu amri mapema baada ya kuona unaanza kujichanganya na kujikanganya...😂

Kibogoyo kakutana na biskuti ya chuma.

Kuna watu kabla hujaanza kubishana nao kwanza uwe umeshakula vitabu na researchs za uhakika.
 
Mtu anashindwaje kuongea kiingereza?kijerumani atakiweza kweli?
 
Back
Top Bottom