GE2025 Luhaga Mpina apitishwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT kwa 92.3%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni aibu kwa hv vyama kusubiri makapi ya CCM.
 
Sasa km watu wenyewe ni km ww unategemea nn
 
H inaonyesha kuwa, tofauti na makada wa ccm hakuna mtu yeyote kutoka chama kingine anauwezo mkubwa kiuongozi
 
Yaan mtu si mwenzenu kwa miaka nenda rudi anakuja leo Kesho anakuwa bora kuliko nyote 😆
Wewe huelewi hii michezo? kinachotafutwa hapo ni kupata idadi flani ya kura za Urais zitakazowapa idadi flani ya viti maalumu vya ubunge, potentially idadi flani ya viti vya kawaida vya ubunge na most importantly, FEDHA za RUZUKU

Mpina, Zitto, wana ACT wote na hata wewe mwenyewe unafahamu fika kwamba Mpina hatoweza kupata/kupewa na INEC kura za maana za hata kumsogelea mteule wa nafasi ya uRais ambaye tunamfahamu wote

Hii pia itatumika "kutakatisha" zoezi la Uchaguzi wa mwaka huu mbele ya macho ya Development Partners/Wafadhili wa bajeti na miradi yetu
 
Mzee wa tabiri uchwara bado upo kazini
 
Wanarudia makosa yale ya CDM kwa EL na makosa yao kwa BM

No reform No Election
 
Zitto akili kubwa, kwenye siasa za Tanzania Zittokabwe ndio mwansiasa mwenye uwezo wa kukabiliana na ccm, wapinzani wengine wote wamejaa jazba na mihemko, ndio maana wanashia jela na uhamishoni.

Sio akili kubwa ila ni mwana CCM anayejifanya upinzani. Mpinzani wa kweli amepewa uhaini.
 
Akiwa rais dhuluma itakuwa kubwa sana alipewa wizara tu alituzulumu wavuvi nimwizi sana amefanya maisha yangu kuwa magumu sana kwa mali halali kabisa sipendi hata kumsikia mcheza madili yawizi ameenda kwa wazalengo
 
Upinzani nchi hii Bado una safari ndefu sana
 
Mpina alisema lini kuwa mama hatukudai mkuu??
 
Hiyo tarehe si atakuwa kwenye kampeni za mwisho mwisho anaandika vip barua ya kutokugombea?
 
Hiyo tarehe si atakuwa kwenye kampeni za mwisho mwisho anaandika vip barua ya kutokugombea?

===
Nakumbuka US ilivyokuwa inaishambulia Libya, US walimuandaa mchungaji akawa anamtukana Obama kuwa anawasaliti waafrika na kuwa alichofanya hakiungwi Mkono na wamarekani. Hiyo haikuzuia US kumuua Gadaffy. lengo, la kumuweka Mchungaji yule kusema maneno hayo, ni kutuliza munkari wa kuishutumu US, pia kutengeneza false hope, kuwa Wamarekani wataandama kuzuia mashambulizi dhidi ya Libya. It was a part of the plan. Sina hakika kama Britannica hachezi role ya Mchungaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…