GE2025 Luhaga Mpina apitishwa kuwania urais kwa tiketi ya ACT kwa 92.3%

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Vyama visivyo na malengo, hivi ndiyo vinakwamisha vuguvugu la mabadiliko nchini.
Huwezi kuiondoa CCM madarakani katika mazingira haya ya uchaguzi - Sahau.
Bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi & Katiba, CCM itaongoza nchi hadi uchoke.
 
Project
 
Mpina anatumika kama pacemaker ya ccm Ili pacemaker ya mtia Nia ccm ifeli yenyewe kama Goli za dakika 89 za Membe!!

Nawaza tu
 
Mpina anatumika kama pacemaker ya ccm Ili pacemaker ya mtia Nia ccm ifeli yenyewe kama Goli za dakika 89 za Membe!!

Nawaza tu
 
Hapana , hii ni strategy na Tactic nzuri kwa ACT, wao wamekuwa smart na wako flexible , siyo kama Chadema ya Lisu ambayo haishauriki wala kuambilika, na Believe me, ACT is going to become a formidable Opposition force come after October election, Wao wamesoma upepo na kutake advantage ya weaker Chadema being out of show. Mimi si mshabiki wala muumini wa ACT, but if Mpina comes to ask for my vote, I would be happy to listen and consider his appeal, and I am not alone in this country with thirsty for changes. CHADEMA it is a split Party which will never be the same again. Mtu aliyeumia zaidi ni Mbowe and his team who had fought so much and hard bleeding sweat and blood, which had been now permanently ruined by hard liner Lisu . It is very unfortunate not only to Chadema members , but also to the Nation. Commander Mbowe we know you are disappointed and heart broken , but you dont owe this Nation anything, as you did play your part in the last 20 years you have been at the helm and rest assured that you will remain in the History Books of this Nation. Bravo Bravo Bravo Commander Mbowe. My piece of Advise to CHADEMA members, reclaim back your Party and rebuild it within the foundations of its establishment, otherwise your 30 years of struggle with blood and sweat bleeding , will all be gone for nothing if you keep this hard liner leader at the helm of your Party. Going to Party B as other members are doing already, is not a best Option, but to keep fighting within your own Party to realign and regain control of your Party, and stay in the Path that will take you to the dreamed destiny. No doubt you had already built a foundation among the population, but you now risk of losing them all ! It is paining and hurting to all of us who had hoped and dreamed for a democratic society in Tanzania, and we shouldnt give up. If Plan A doesnt Work, the Alphabet has other 25 Letters !
 
Vyama visivyo na malengo, hivi ndiyo vinakwamisha vuguvugu la mabadiliko nchini.
Huwezi kuiondoa CCM madarakani katika mazingira haya ya uchaguzi - Sahau.
Bila mabadiliko ya mfumo wa Uchaguzi & Katiba, CCM itaongoza nchi hadi uchoke.
Hata Mji wa Roma haukujengwa kwa siku moja, tutakuja kufika huko tunakotaka tuwe.
 
Upupu
 
Wewe mpiga ramli. Huna taarifa siku hizi umekua mtu wa kuruka na upepo tu.
 
Wewe hapo unaleta uchawa, kwani hao wengine wanatokea Nchi ya wapi. Ili mradi wote ni wa Tanzania/WaTanganyika, mimi kwangu Utaifa ndilo la muhimu.
 
Usitake kusikia TU yale unayopenda kusikia, ukweli ni kwamba Lisu ameangamiza CHADEMA as a Party. Kwenye Mikono ya Mbowe, pamoja na madhaifu yake mengine, CHADEMA was a formidable force and relevant to the Political structure of Tanzania, but now all that was built for the last 30 years are gone and gone for all. Trust me, there is no CHADEMA any more. Mimi ni Mtanzania huru ambaye sina Party affilitaion na Chama chochote but I do support the struggles for democracy.
 
Kama ilivyokuwa project, lowassa kwenda chadema na kugombea urais 😂
LOWASA arrival to CHADEMA , regardless how, it was of benefits to CHADEMA as a Party, let us be fair, considering the of number votes garnered and popularization of the Party to grass roots.
 
Upupu
 
LOWASA arrival to CHADEMA , regardless how, it was of benefits to CHADEMA as a Party, let us be fair, considering the number votes garnered and popularization of the Party to grass roots.
Nazungumzia kuwa project, Yeye kunufaisha chadema sijazungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…