Luhaga Mpina: Deni la Serikali lapaa kutoka Trillion 62.4 mwaka 2021, Hadi kufikia Trillion 96.9 mwaka 2024 !!

Wakuu vijana lazima tufanye namna wakati huu tusiishie tu kulalama mtandaoni... Lazima sasa tuamke na kuchukua hatua. #Say no to emptyheaded leaders
Hatua za kufanyaje? Au mnaenda kutumika kama wajinga
 
Kama mpina anasema kweli na watu bado wanabisha kwa masai ya com basi hii nchi matahira ni wengi
 

Kalala kivipi?
 
Hiyo USA uliileta mwenyewe kujaribu kuunga unga utetezi wako uchwala, nimekujibu kuhusu USA uliowataja mwenyewe, sasa hivi unasema mada ni Tanzania sio USA, una kili timamu kweli?

Sasa samia legal aid inatoa wapi hela, kwamba mkuu wa nchi ambae unasimamia utungaji wa sheria na utekelezaji wake, unalipia wananchi msaada wa kisheria kupambana na sheria ulizotunga mwenyewe? Aisee.

Leo unasema mwamposa hakuna ushahidi? Hela alizopewa mwamposa kwenye mkesha wake live hazina ushahidi? Hapa hoja sio watu kwenda wenyewe, shida ni hela za walipa kodi kutumika hovyo hovyo. Huku wazazi wanakufa kwa kukosa huduma muhimu hospitalini miaka 64 ya uhuru chini ya majani mabichi, halafu hela wanapewa kina Masanja, Mwamposa, kiboko ya wachawi nk. Majani hawana vipaumbele, miaka 64 nchi bado unaomba msaada wa vyoo kweli?
 
Kizimkazi yeye akishatufilisi anarudi kwa wajomba zake omani
 
Mwamposa alipewa hela kiasi gani na zilitamkwa za nini?.maana Viongozi wengi tuu wa dini wanapewa za ujenzi ,sadaka nk hapo shida Iko wapi? Wangepewa kina Mwamakula,Bagonza,Kitine hapo ni sawa 😂😂

Kwani Samia legl Campaign ipo Kwa sababu sheria ni mbaya au inawasaidia kutatua Changamoto za kisheria sawa na outrich ya Huduma za Afya zinavyokuaga.
 
Despite sijawahi mkubali Mpina kwa unafiki wake enzi za JPM kutekea mikopo na leo anaigeuka. Ila kuiondoa CCM inahitaji joint efforts, ni vizuri chadema wamvute huyu watengeneze coalition moja matata sana kuelekea oktoba.
Hapo hapo alipo anafaa, haina haja ya kumvuta upande wa pili. Kama unaelewa kijasusi mambo yatakuwaje
 
Safi sana Mpina pigaa spana chief hangaya had alale na ushungi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…