Pre GE2025 Luhaga Mpina kufungua Kesi zote ndani ya masaa 24

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mmmmmhhhh mambo ya kuuana tena kisa mawazo mbadala [emoji15][emoji15][emoji15] siyo sawa na naomba waTZ tuwe wa tofauti kwa hoja kama hizo
 
Huyu nae afanye ishu zingine this is getting tiresome.
Unaweza kuchoka na kitu ambacho hushughuliki nacho? Huu nao ni ugonjwa wa afya akili. Mpina kuongea na media kwenda mahakamani wewe kinachokuchosha nini? umepungikiwa nini?
 
Kabisa ,CCM watamfukuzaje mtu ambaye anatetea maslahi ya taifa? Mtu ambae anapinga wizi ,rushwa ,ufisadi?

Tupo pamoja mpini shikilia hapo hapo mpaka wateme ndoano....Waziri anakutwa na 80B kwenye account.
 
Hii ni nafasi nzuri kwa rais Samia kuendelea kusafisha wale wasiofaa ndani ya serikali yake.
Naiomba mihimili husika (mahakama,takukuru,Tiss) kumsaidia rais Samia
 
Kuna watu wana risi nyumba alafu kuna mim hapa na nimerisi dushe refu alafu kuna mama abdu amerisi.......!!
 
Mnafiki sana huyu mpiina. Hata kwenye Serikali YA DHALIMU wa Chato alikuwa mbele sana kuchoma nyavu za wavuvi
 
Wewe kwenu wapi?

Kama ni Mtanganyika basi wewe ulipachikwa Utanganyika na bwana mkubwa wako wa Kijerumani. Kabla hajakupachika jina hilo la ajabu ulikuwa ni Mzenjbar.
Huu ujinga wa kupotezeana muda hapa kaa nao mwenyewe.
 
Kama sukari iliingizwa nchini bila kulipiwa kodi. Je kwanini tunanunua sukari Tshs.3,000 kwa kilo?. Sukari bila kodi ingefaa kuuzwa kwa T.shs.1,500 kwa kilo.
 
Huu ujinga wa kupotezeana muda hapa kaa nao mwenyewe.
Hoja imekuingia, mabwana wakubwa zako wa Kijerumani ndiyo walikuita Mtanganyika.
Kama mababu zako walikuwepokabla ya Tanganyika utakuwa ni mzenhbar.

Lakini nnamashaka sana, wewqe itakuwa babu zako walikuja kama manamba wakati wa Muingereza.

kama unabisha sema kwenu wapi na kuna historia ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…