Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

Kwa nini wasiitwe "magufuliGang", maana hiyo "Sukuma" ni wazi kabisa ni misnomer', na tena ni udhalilishaji wa kabila zima bila ya sababu zozote.
Sawa uko sahihi,ila wao nahisi waliamua kuchukua hilo jina ili kuvutia wajinga ambao ni wengi,lakini mkuu sukuma gang siyo kabila la wasukuma ndiyo maana kuna mtu kama Slow Slow na Bushiri. Angalia jinsi mlivyoitwa wanyonge na kuridhika mkawa mnatembea kifua mbele eti nyie ni wanyonge. Amka na utumie akili zako mkuu
 
Angalia jinsi mlivyoitwa wanyonge na kuridhika mkawa mnatembea kifua mbele eti nyie ni wanyonge. Amka na utumie akili zako mkuu
Sijawahi kuwa "mnyonge".

Naona bado hunielewi ninachokueleza tokea huko mwanzo, na kwenye bandiko la mwisho uliloni'quote' hapa. Sasa sijui unataka nikujibu vipi ili unielewe vyema. Huna sababu hata moja ya kuniweka kwenye hayo makundi uliyonayo wewe kichwani mwako. Nina akili huru na timamu kabisa kuwa na msimamo thabiti juu ya jambo lolote ninaloliona na kulipima mwenyewe bila ya kuyumbishwa na yeyote.

Baada ya hapa kama bado utang'ang'ania kuniwekea lebo zisizonihusu, nitajua unafanya maksudi, na nitakuja kivingine kabisa katika kujibu hoja zako.
 
Pole mkuu kama umekwazika. Siko hapa kumkosea yeyote samahani sana
 
Kama haya yaliyosemwa ni kweli. Then The guy was incompitence, Kwa utitiri ule wa TISS alio ajiri bado alishindwa kua na ushahidi wa haya mambo na kuwa tia akina mbowe hatiani
 
Sawa mkuu binafsi nimekuelewa.
 
Samahani sana mkuu,jalo kuna comment nilikuwa nimeshakuomba msamaha kabla ya kuona hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…