Wote hawa ni Sukuma gang,ila kumbuka Sukuma gang siyo kabila ila ni kikundiWawahoji akina kasimu majaliwa, bashiru,pole pole na Dr abas. Hawa ndo hawakutaka Samia aapishwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote hawa ni Sukuma gang,ila kumbuka Sukuma gang siyo kabila ila ni kikundiWawahoji akina kasimu majaliwa, bashiru,pole pole na Dr abas. Hawa ndo hawakutaka Samia aapishwe.
Mkuu hivi Jiwe na Bashite unajua kuwa walikuwa na vyeti feki. Wajua pia kuwa Jiwe kabla kujifanya Msukuma Wahaya walimkataa,kifupi hata uraia wake ni wa utataTunaunga mkono hoja wtz wazalendo.hiyo tume ikimaliza ichunguze pia matumizi mabaya ya pesa za umma Kwa yule anayesafiri mara Kwa mara na kupewa vyeti fake.
Mkuu wewe na Mpina mko na tofauti gani, mbona kama akili zenu ziko sawa?Hapana.
Mimi simwangalii Mpina kama unavyomwona wewe. Mpina alishawahi kuwa waziri, rekodi yake ya wakati huo ipo, hata kama wewe utaiona ina madoadoa. Kama alifanya 'wizi' kama unavyodai hapa, eleza matukio kwa ushahidi ulio nao wewe.
Mpina sasa hivi anafanya kazi kubwa ya upinzani kuliko vyama vyote vya upinzani, ikiwemo CHADEMA yenyewe tuliyo tegemea ingefanya kazi hiyo.
Sasa wewe hapa unakuja na madai ambayo hayana ushahidi wowote, halafu unataka tukuamini wewe, ambaye umejibainisha humu humu kuwa na maslahi na CCM hii hii inayotawala sasa?
Aisee mpaka huwa nakuona kama Bashite. Je huwa unalipwa au umeamua tu kujivua akili?Jamaa huwa anatokea kuziba, kufifisha hoja.
Basi si ndio tujue kama kina Ben Saanane, Mbowe, ama Tundu Lissu walihusika?
Hatahivyo Hayat Rais Magufuli hajaanzisha mauaji katika Dunia hii.
=======
Halikadhalika kama kina Ben wamekufa shida ipo wapi? Tundu Lissu kupigwa Risasi shida ipo wapi?
Nye nye nye
Wewe ni mmoja ya wale mnajiita wanyonge na kumuita Jiwe kuwa ni Shujaa wenuHa ha. Naona ujumbe wenu ni mmoja.
Kinacho kuuma ni nini wewe?
Majangili na mawakala wao yana weweseka.
Luhaga Mpina apewe Ulinzi.
Jiwe alitakiwa afe baada ya CCM kufanya makosa. Hata miki ningekuwa mlinziwa wake ningempiga shaba nikozee jeraMbona na wewe hujapotea??
Kuna mahali niliandika Mdude hapo?
Nimeandika Roma Mkatoliki na kufariki Leopold Lwajabe mbona hujajibu nilioandika.
Mo alijiteka vipi hotelini alipoenda na gari yake kwa ajili ya mazoezi , wewe unaweza kwenda gym na gari yako halafu ujiteke uiache parking ???
Nothing is closed it just the beginning.
Nani alikudanganya??
Mbona kuna watu walisherekea kifo chake hadi wakakamtwa na rekodi zipo na tangazo likatoka watu wakazuiwa kusherekea??
Mtu aliyeminya uhuru na kutaka aongee na kusikilizwa yeye pekeyake anawezaje kupendwa na wapenda uhuru?
Rejea siku anamuapisha Mwakyembe aliwaambia wanahabari wasidhani wako huku akasema " not to that extent"
Watu hawataki dikteta atajwe kwa yale aliyokuwa anafanya.Jiwe alitakiwa afe baada ya CCM kufanya makosa. Hata miki ningekuwa mlinziwa wake ningempiga shaba nikozee jera
Hee!Sidhani kama nafasi za vyama vya upinzani zimeisha. Anzisha chama chako na wewe uwe mpinzani
Hujaeleza "zipo sawa" kwa vipi". Kama zipo sawa, kwani hilo ni kosa?Mkuu wewe na Mpina mko na tofauti gani, mbona kama akili zenu ziko sawa?
Magufuli is gone for good(deceased). Hata kama ilikosewa kuwa amefariki huku ukweli akiwa ofisini anachapa kazi! Tujue hatarudi daima milele. Tanzania lazima isonge mbele na waliopo hai.Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.
Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
Kisesa MP, Luhaga Mpina, has stated, "After thoroughly listening to the explanations provided by retired Chief of Defence Forces, General Venance Mabeyo, on March 16, 2024, I am convinced and urge my fellow MPs to allow the formation of an independent commission to investigate the controversy surrounding the death of the Fifth President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli. This is to ensure justice is served to both those mentioned positively or negatively in this matter."
He added, "The commission will also identify those who rejected the swearing-in of Dr. Samia Suluhu Hassan as the President of Tanzania when it was a constitutional requirement. Given the gravity of the issues raised by a credible institution and a credible individual, there is a need for this commission to be established."
The narrative surrounding the late President Magufuli's health has been clarified by retired General Venance Mabeyo, who revealed that Magufuli had been battling heart issues since his time at the University of Dar es Salaam. He was initially admitted to Muhimbili Hospital and later transferred to Mzena Hospital, where he unfortunately passed away. There doesn't seem to be any ambiguity in this account. The controversy might have arisen from the lack of transparency in the government's communication after the President's death. However, this doesn't warrant the formation of a commission.
Another area of contention could be the secrecy surrounding Magufuli's illness. Yet, it's known that he conducted his government affairs with a high level of secrecy, propaganda, and denial. Even when he claimed that COVID-19 had been eradicated through prayer, his government remained silent about his health condition. Similarly, when former President Mkapa fell ill, the government didn't disclose any details until his passing. In contrast, during President Samia's administration, updates were provided when President Mwinyi was unwell.
Therefore, Minister Mpina's attempt to insinuate controversy around Magufuli's death doesn't seem to be grounded in his own statements.
However, the public has proposed the formation of an independent committee to investigate key incidents that have stirred concern and controversy in Tanzania. These incidents include the disappearances of Ben Saanane and Azory Gwanda, the death of Leopold Lwajabe, the attack on Tundu Lissu in Dodoma, the kidnappings of Roma Mkatoliki and Mohamed Dewji, and the reasons behind the invasion of the Clouds Media Group studios. Establishing this committee would ensure transparency and justice for the Tanzanian public and the families affected by these events.
Mimi na CCM wapi na wapi, watu kama wewe ndiyo huwa nawafananisha na BashiteHujaeleza "zipo sawa" kwa vipi". Kama zipo sawa, kwani hilo ni kosa?
Tueleze za kwako zikoje kwanza.
Ahaaa. Kumbe zipo hivi:
"...CCM walifanya makosa...."
"Hata mimi ningekuwa mlinzi wake...."
Kwa hiyo CCM hii ya sasa ndiyo iliyoteka akili zako?
Unanikosea heshima sana mkuu 'Allency', juu ya hili; kwani nakufahamu siku zote kuwa tofauti na ulivyonielewa kwenye mada hii.Mimi na CCM wapi na wapi, watu kama wewe ndiyo huwa nawafananisha na Bashite
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John Joseph Pombe Magufuli ili kumtendea haki lakini na watu wengu waliotajwa ama kwa wema au kwa ubaya katika suala hili.”
Ameongeza “Pia tume hiyo itabaini hata watu waliokataa kuapishwa kwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania wakati ilikuwa ni takwa la kikatiba.
Kwa mambo yaliyosemwa na Taasisi ambayo sio ya kutiliwa mashaka na mtu ambaye si wa kutiliwa mashakaa kuna haja ya hii tume kuundwa.”
Kisesa MP, Luhaga Mpina, has stated, "After thoroughly listening to the explanations provided by retired Chief of Defence Forces, General Venance Mabeyo, on March 16, 2024, I am convinced and urge my fellow MPs to allow the formation of an independent commission to investigate the controversy surrounding the death of the Fifth President, Dr. John Joseph Pombe Magufuli. This is to ensure justice is served to both those mentioned positively or negatively in this matter."
He added, "The commission will also identify those who rejected the swearing-in of Dr. Samia Suluhu Hassan as the President of Tanzania when it was a constitutional requirement. Given the gravity of the issues raised by a credible institution and a credible individual, there is a need for this commission to be established."
The narrative surrounding the late President Magufuli's health has been clarified by retired General Venance Mabeyo, who revealed that Magufuli had been battling heart issues since his time at the University of Dar es Salaam. He was initially admitted to Muhimbili Hospital and later transferred to Mzena Hospital, where he unfortunately passed away. There doesn't seem to be any ambiguity in this account. The controversy might have arisen from the lack of transparency in the government's communication after the President's death. However, this doesn't warrant the formation of a commission.
Another area of contention could be the secrecy surrounding Magufuli's illness. Yet, it's known that he conducted his government affairs with a high level of secrecy, propaganda, and denial. Even when he claimed that COVID-19 had been eradicated through prayer, his government remained silent about his health condition. Similarly, when former President Mkapa fell ill, the government didn't disclose any details until his passing. In contrast, during President Samia's administration, updates were provided when President Mwinyi was unwell.
Therefore, Minister Mpina's attempt to insinuate controversy around Magufuli's death doesn't seem to be grounded in his own statements.
However, the public has proposed the formation of an independent committee to investigate key incidents that have stirred concern and controversy in Tanzania. These incidents include the disappearances of Ben Saanane and Azory Gwanda, the death of Leopold Lwajabe, the attack on Tundu Lissu in Dodoma, the kidnappings of Roma Mkatoliki and Mohamed Dewji, and the reasons behind the invasion of the Clouds Media Group studios. Establishing this committee would ensure transparency and justice for the Tanzanian public and the families affected by these events.
Kuna msukumo unaofanya fikra zako zionekane kuwa finyu. Zingekuwa pana na huru ungetambua kuwa kuna ya ziada juu ya yanayosemwa kuwa mbunge kayatamka.
Kwa nini wasiitwe "magufuliGang", maana hiyo "Sukuma" ni wazi kabisa ni misnomer', na tena ni udhalilishaji wa kabila zima bila ya sababu zozote.Wote hawa ni Sukuma gang,ila kumbuka Sukuma gang siyo kabila ila ni kikundi
Hili linahusiana vipi na hayo mengine uliyo andika huko chini.Tatizo wa Watanzania wakisoma kidogo wanaona wengine wote ni wajinga. Kifo cha magufuli ukweli unajulikana Mpina anatafuta mwamko tu wakisiasa hamna jipya hapa zaidi ya kutafuta kiki na uchawa.
Haya hapa yanashangaza na kustua; lakini ni vigumu kuyakataa.ALIANZA Mkakati haramu ambao Mwisho ulikuwa Mpango haramu wa himaya ya hima kujipanua kuja hadi GEITA kwa jina la MKOA Mpya ya Chato ambao waliudai hadi msibani [ Baada ya kustukiwa Nia ovu hiyo umemsikia Nani anadai tena MKOA wa Chato?? ] ule baadaye ungedai kujitenga na kuwa sehemu ya nchi jirani Kama wanavyopata shida Goma Leo…
Lakini hili hapa, ni ujinga tu unaoendelea kulipalilia.Sio Ajabu kuugua bila uwepo wa mke au ndugu …kwasababu alikuwa captive wa state ….treason against the sorveregnity of the state .