Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

Maelezo ya mbunge Luhaga Mpina yamelenga kumsaidia Rais Samia,na si kuikwamisha serikali ya awamu ya sita.

January Makamba Kama waziri wa nishati kafanya makosa makubwa sana yanayomuondolea sifa ya kuendelea kuwa waziri hata kama tunampenda kiasi gani.

Kuendelea kumbeba ni kuidhoofisha serikali hii ya awamu ya sita. kwani akiachwa wengi watafanya makosa kama yake na hapo ndio uwajibika utashuka kupindukia.

Rais Samia hili ni tego kwako kabla makundi mbalimbali hayajaanza kupiga mayowe kuhusu huyu msaidizi wako.

Nakumbuka hayati Magufuli pamoja na uswahiba aliokuwa nao na Kitwanga,alimfukuza uwaziri haraka sana baada ya kuingia bungeni kalewa.

Hili la Makamba Jr ni zaidi ya kosa alilofanya Kitwanga
 
Kuna mtu wakati anasoma hii topic yako pembeni yangu akacheka sana, nilipogeuka kumtazama nikamuuliza vipi ndugu mbona hivyo?, "akajibu hilo jina hapo juu (chinembe) unajua maana yake?"

Nikasema hapana, "basi maana yake siyo nzuri kutaja hadhani ni tusi' nani sehemu iliyo kwenye maungo ya mwanamke", ohooo nikauliza ni kabila gani hilo lenye kutamka hiyo kitu?, akajibu; "Wajita kutoka mkoa wa Mara".

Baadaye nikaoanisha na hicho ulichoandika nikapata jibu. So kuna wakati unapowaza na kufanya jambo uenda ndivyo mawazo yako yanapowaza.
 
Hii nchi hii..tutafika kweli?
Tukiwa tumechoka sana, mfano unasafiri kwenda bukoba, kwa sababu nauli ipo juu basi unaishia dodoma unatafuta kazi yoyote ili upate nauli ya kutoka dodoma to bukoba.

So kufika tutafika ila kwa uchovu wa hali ya juu.
 
Wewe jamaa ni mpumbavu sana tena wa kiwango cha Standard Gauge!!
 
Nimemsikiliza Mpina ,Rais atengue huu uteuzi,ni teuzi ya hovyo sana hii
 
Asipoachia ngazi bunge limchukulie hatua stahiki
 
Hili ni jaribia la kwanza kwa Rais Sana kujua kama yako serious ofisini au business as usual
 

Luhaga Mpina ni kati ya wabunge walioaga kwao.​

Ukweli ni kwamba mama 2025 kazi unayo na kurudi chamwino ni ndoto.​

Bado hujaweza kufikia kasi na viwango vya JPM. Upigsji fedha za umma umeanza kwa kasi sana.​

 
Baba yake Mzee Makamba Sr. si mliona alivyompamba mama kwenye mkutano maalum wa CCM, yaani kumpamba kote huko mwanawe atupiwe virago nje kweli kisa kurusha tu vijembe tuwili tu bungeni?
Kwani Mpina katoka kwenye familia ya Waasisi wa chama ama ni WA kuja tu?
Wapi Bulembooooooo, hahaha hii nchi nyepesi Sana!
 
Tatizo ni kwamba januari hakupewa uwaziri kwa sababu ya uwezo wake wa kiutendaji, alipewa uwaziri kwa sababu ya uswahiba na Kikwete; kumwondoa inakuwa vigumu kwa sababu SSH ataogopa kumuudhi godfather.
 
Kipindi yeye anachomea wavuvi nyavu zao na kuwatia hasara hao walikuwa siyo watanzania?.
Tatizo mnaweka matumaini kwa wanasiasa wa Afrika. Afrika tuna viongozi wacheche sana, wengi wao ni wanasiasa ambaye anawaza kushinda uchaguzi unaofuata. Hivyo yuko tayari hata kujiakana mwenyewe ili aweze kushinda uchaguzi.
Tuwekeze kwenye familia zatu maana afrika hatuna vingozi ambao wanaweza kubadilisha maisha ya jamii yetu
 
Jiwe alikuwa anajibu hoja kwa mtutu.Hawa wafuasi wake wafanyiwe hivohivo
 
Haya masalia ya mwendazake bungeni yana shida kubwa.
 
Huwa nikiangalia madudu ya hii serikali naishia kushangaa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…