thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Maelezo ya mbunge Luhaga Mpina yamelenga kumsaidia Rais Samia,na si kuikwamisha serikali ya awamu ya sita.
January Makamba Kama waziri wa nishati kafanya makosa makubwa sana yanayomuondolea sifa ya kuendelea kuwa waziri hata kama tunampenda kiasi gani.
Kuendelea kumbeba ni kuidhoofisha serikali hii ya awamu ya sita. kwani akiachwa wengi watafanya makosa kama yake na hapo ndio uwajibika utashuka kupindukia.
Rais Samia hili ni tego kwako kabla makundi mbalimbali hayajaanza kupiga mayowe kuhusu huyu msaidizi wako.
Nakumbuka hayati Magufuli pamoja na uswahiba aliokuwa nao na Kitwanga,alimfukuza uwaziri haraka sana baada ya kuingia bungeni kalewa.
Hili la Makamba Jr ni zaidi ya kosa alilofanya Kitwanga