Luhaga Mpina, mmoja wa Wana CCM waliochukizwa Samia kuwa Rais, awaita Mawaziri awamu ya 6 matapeli

nonesense.
 

Eti makamba ni mtu smart sana shuwani
 


Haya yote uliosema ni ya kwako…sisi tunataka Waziri awajibishwe hii sio nchi ya baba yake…angekuwepo Makongoro Nyerere tungejaribu kumsikiliza kidogo anajiteteaje….lakini huyu ajiuzulu…

Ndugai mbona mlimuandama mpaka akajiuzulu wakati alikuwa anaokoa mapato ya serikali kwa kushauri kupunguza mikopo…huyu waziri kakosesha mapato mnamtetea…
 
🐒🐒🐒👇
Your browser is not able to display this video.
 
Nimeisoma hotuba ya Mpina,nilichokiona kuna hoja za msingi bila kujali uhusiano wao ukoje.
Kumpenda au kutompenda Rais,sioni panaingilianaje na hoja alizoziibua.
Ni kweli aliondoa tozo ya sh 100 kwa nia njema ili apunguze makali ya mafuta japo haikusaidia, lakini alichokiibua Mpina ni kuwa hatua hiyo haikufuata utaratibu wa kikatiba hali iliyoleta madhara kwenye.bajeti na hata Rais alikiri hivyo na kuamua kuirudisha.
Ni vizuri tukajikita kwenye content kuliko kufanya makusudi ya kuwadistract watu kisa tu humpendi mtoa hoja.
Umesema utamlinda Rais, kwani yupo kwenye hatari gani?
Kumsema Makamba ni kuhatarisha usalama wa Rais?
Kama Kikwete aliridhia kuondoka kwa Lowasa rafiki yake mkubwa wa wakati ule aliyemsaidia pakubwa kuwa Rais nini msaada wa Makamba kwa Samia kuwa Rais!!! Labda angekuwa Gen. Mabeyo.
 
Ujinga ulionao ni kiwango ya Lami.!

Sent from my SM-A115AZ using JamiiForums mobile app
 
Kama wanagusa maslah ya watanzia tulio wengi hawa ndio watu sahihi kwa taifa kulko huyo mama yenu
 
Kwani we unaishi shimoni? Hii imetrend Jana siku nzima halafu unauuliza leo. Nachukia watu wa namba hii ndo wanagurufisha nyuma.
mbona makasiriko ndugu, unanichukia kwa sababu ndogo namna hiyo, ok tupo mwezi wa toba roho wa bwn akuponyekatika hili
 
Msimlenge Mpina..wananchi tunataka kujua uongo wake ni upi.Huyu ni mbunge critical tangu zamani anafahamika kwa misimamo yake sidhani kama anaweza kutumwa kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msimlenge Mpina..wananchi tunataka kujua uongo wake ni upi.Huyu ni mbunge critical tangu zamani anafahamika kwa misimamo yake sidhani kama anaweza kutumwa kuongea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni tapeli wa hali ya juu, Morogoro nzima wanalia kawatapeli ardhi
 

 
Kwamba Mama afukuze Luhaga? February katika ubora wako umejianzishia uzi?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…