Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nonesense.Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Mpina analeta siasa kwenye mambo ya kiufundi, Hivi anajua time frame ya SGR project!!? Mpaka JPM anafariki tulikuwa nje ya muda ambao ulipangwa awali je alihojia!?! Waziri makamba ni mtu smart sana na sababu za bwawa kuchelewa kukamilika zimeshaelezwa waziwazi, Inshu ya umeme kukatika pia liko open kabisa
Lakini kama Nchi tunakoelekea ni pazuri sana hata haya mambo ya kukatika umeme yatabaki historia kama anaona Uchungu kalemani kutoka wizarani kwa vile kuna deals kibao walifanya basi atambue wakati wao umepita.
Polepole kaongea unajua nini kimempata?Acha watu waongee, ata Samia alisema waachwe watoe ya moyoni. Sasa wewe unaye zuia tukueleweje?
Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Tulisema huyu waziri ni Bomu la nuclear,ngoja limlipukie Rais Samia
Muosha huoshwa. Wao wakati wanazuia wananchi kuhoji walithubutu kuteka hata kuua. Leo eti analalamika
Kwa kisukuma wajuzi wanasema mpina maana yake ""Yatima!!. So Jamaa ni YatimaMpina
Nimeisoma hotuba ya Mpina,nilichokiona kuna hoja za msingi bila kujali uhusiano wao ukoje.Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Ujinga ulionao ni kiwango ya Lami.!Luhaga Mpina, mmoja kati ya Mawaziri waliochukiwa sana hasa Kanda ya ziwa, alichukizwa sana kuona Samia Suluhu Hassan anaapishwa kuwa Rais.
Yeye na kundi la akina Polepole na Ndungai, Kalemani kwa pembeni walijipanga vilivyo kuhakikisha bajeti ya mama Samia 2022/2023 haipiti, lengo lao lile lile kuangushwa serikali kwa sababu Wana chuki kubwa sana na uraisi wa Samia.
Hotuba yake ya Leo kaandikiwa na Kalemani, waliiandaa pamoja na Polepole na Ndungai. Ndungai bado hajaridhishwa kuondolewa Bungeni, hivyo ameacha ma parody yake, na amepanga kuyatumia kutimiza lengo lake la kumtikisa Samia.
Mama, shughulika naye huyu, wanazunguka tu, lakini lengo ni wewe mama yetu. Tunaapa kukulinda, kama ni uhalifu, hakuna muhalifu kama Luhaga Mpina.
Ohoo ndiyo maana anadekaKwa kisukuma wajuzi wanasema mpina maana yake ""Yatima!!. So Jamaa ni Yatima
mbona makasiriko ndugu, unanichukia kwa sababu ndogo namna hiyo, ok tupo mwezi wa toba roho wa bwn akuponyekatika hiliKwani we unaishi shimoni? Hii imetrend Jana siku nzima halafu unauuliza leo. Nachukia watu wa namba hii ndo wanagurufisha nyuma.
Ni tapeli wa hali ya juu, Morogoro nzima wanalia kawatapeli ardhiMsimlenge Mpina..wananchi tunataka kujua uongo wake ni upi.Huyu ni mbunge critical tangu zamani anafahamika kwa misimamo yake sidhani kama anaweza kutumwa kuongea.
Sent using Jamii Forums mobile app