Luhaga Mpina: Waziri Mwigulu Nchemba anahusika na ufisadi wa trilioni 1.7 mradi wa SGR

Ipo siku huko serikalini watamuelewa Magufuli kwanini alikuwa mkali kwenye mambo ya upotoshaji; halafu hivi vyombo uchwara vinavyopotosha umma vikifungiwa mnaita udikteta.

Watanzania ukishawapa kichwa cha habari tosha story wanaandika wenyewe, huo muda wa kujiridhisha ukweli hawana.

Hivi kwa akili ya kawaida tu ata kama hiyo phase gharama zimeongezeka kama CAG anavyodai, lakini ujenzi wenyewe unalipwa kwa awamu kupitia certificate ya kazi; sasa huyo Mwigulu atacholopoa vipi hizi hela zote kabla ya kazi na ujenzi atakuanza bado.

Huyu mtu anaetwaja kupewa tender hayupo, hiyo kazi kapewa mchina kwa sasa.

Uzuri wa hili sakata ni mungu anajibu kwa namna yake zile trillion 1.5 za Magufuli; na kwanini baadae CAG akatimuliwa kwa kuendekeza upotoshaji wake.

You know what they say karma is a bitch, that’s the only good thing about 1.7 trillion hewa.
 
Karma isn't a bitch to everyone

Familia ya moi wamechota 3B $ na hawakufanywa kitu sasaivi vizazi vinakula bata tu

Mkuuu lifee isn't fair at all
 
mimi naishi Tandika Mwembeyanga , huku kwetu matusi ni sehemu ya salamu , wala sishangai kwa wewe kuniita choko , lakini jua kwamba huu ujinga uliouandika hapa utaulipia kwa maumivu makubwa sana .

Matusi si utaratibu wa JF
Kwani choko ni tusi, duuh sasa nikifunguka mengine si utalia sasa

Anyway kama hutaki kujibu pita πŸ‘‰πŸ‘‰πŸ‘‰
 
joined 10/3/2023 , ni vizuri JF ikafundisha nidhamu hawa vijana wapya ili wasiaibishe wazazi wao na jukwaa
Joined 10/3 but member since october

Mzazi anayejielewa hacheki cheki hovyo yupo direct

Mbona una maneno mengi aseee una washwa au ni nn

Au hali ya hewa imekubadilikia
 
Karma isn't a bitch to everyone

Familia ya moi wamechota 3B $ na hawakufanywa kitu sasaivi vizazi vinakula bata tu

Mkuuu lifee isn't fair at all
Mkuu hizo hela hazipo ni ndoto za Ali-Nacha tu.

Ni sawa na wewe upendelee tender ya ujenzi wa nyumba kazi umpe shemeji yako.

Halafu waje watu waseme bei ya ujenzi ni kubwa, kipimo ni nyumba iliyojengwa mwaka juzi kwa kuangalia unit cost per sq meter.

Sasa nyumba ambayo inalinganishwa imejengwa uwanja tambarare. Wakati hiyo nyumba mpya inatarajiwa kujengwa kilimani na kuna msitu juu; gharama za kutayarisha kiwanja tu sio sawa.

Bado nyumba iliyojengwa kabla ya covid na itakayojengwa sasa sio sawa gharama za usafirishaji vifaa from point A to B, vitu vya ujenzi vimepanda bei, gharama za cement zimepanda, huyo mkandarasi nae ana inflantation adjustment zake. Kwa vyovyote unit per sq meter aiwezi kuwa.

Tatu mkandarasi analipwa kwa certificate kila baada ya hatua ya kazi; apewi hela yote kwa mkupuo. Huo ujenzi wenyewe ata kuanza bado sasa hiyo hela imeibiwa saa ngapi.

Halafu hiko kipande kinachoongelewa sasa hivi nadhani kapewa mchina, sio mturuki tena (sina uhakika sana na hili).

Ni hadithi za CAG, halafu huyo Mpina trust me ni mental case, sio mzima kabisa.

Uzuri wa hili sakata ni somo kwa serikali hii kwanini Magufuli alimtimuwa Hassad ni upotoshaji kama huu. Lingine ni kujifunza kwanini alikuwa mkali na sources za habari zinazosambaza upotoshaji.

Mwigulu kapiga kwenye tender ilo lipo wazi ila kapata hela kutoka kwa wachina na alivyo mjinga alishusha mabasi kwa jina la mkewe. Hela aliyopata huko kupendelea tender aiwezi kuwa kubwa hivyo.
 
Duuuh aseee kwaiyo ni uongo na hakuna ufisadi uliofanyika hata shs 100 πŸ€”πŸ€”


Duuh sawa yangu macho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…