Lukuvi: Nina Hofu na Uislaam aka "Islamophobia".

Status
Not open for further replies.
Wazanzibar wapi unao waongelea wapambane wakati wale wa ccm wakapiga na makofi kabisa! halafu wenyewe kwa wenyewe hawaelewani, wengine wanatukanana ka kina Asha Bakari...
 

Sasa naona wanafamilia mmeanza kulumbana kama siku zileeeeeee....nawatakieni kila la heri...
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo wote wanaotaka sirikali 2 ni watetez wa mfumo kristo? eg. JK, Gharib Bilal, Shekhe Jongo, Dk. Shein, Mwinyi marais wote wastaafu wa Znz waliompa kampani JK cku ya kuzindua bunge. Au ww mleta mada una uelewa mfumokristo kuliko mashehe na waislam woote waliomo ndan ya ccm.
 
Wazanzibar hawapigania mapinduzi ili watekeleze nia yako
 
Uislam kwanza CCM baadae kamanda, mbona huko Kanisani kwenu Lukuvi, alikuwa anawachagua CCM au yeye alikuwa anaangalia maslahi ya Wakirsto "Mfumo Kiristo"

Muungano kumbe ni wa Kanisa.
 
Hakuna tena maswala ya CCM hapa ni udini ndiyo unaongoza ligi mnapita makanisani kutangaza ufatani wenu.

Mfumo Kristo aliouacha Nyerere tutaakikisha tunapambana nao mpaka dakika za mwisho.

Wazanzibar pambaneni mvunje huu muungano wa Kanisa.

unapambana nao JF? nyuma ya keyboard?.ha ha ha....
Wazanzibar pambaneni mvunje huu muungano wa "CCM".
 

Sio ya CCM ila ni ya Kanisa ehhh?????

Ha ha ha ha ha ha ......Lukuvi alikuwa anamwakikisha nani...??? Lukuvi ni mpinzani ehh??????? Jibu ni Lukuvi ni CCM....

Zanzibar komaeni kutoka kwenye mikono ya CCM....
 
Tusigawanyike kiimani, tukaacha kuamibiana na kupendana kwa sababu za hawa wenye uchu wa kutawala siku zote ingawa hawatafanikiwa.
Waislam na Wakristo tuwe makini, maana haya mambo ya udini ni mabaya kuliko njaa. Huyu Lukuvi ni mnafiki na mwongo sana. Tumpuuze na tusimpe nafasi atugawanye. Anatafuta 'divide and rule policy'
 
Sio ya CCM ila ni ya Kanisa ehhh?????

Ha ha ha ha ha ha ......Lukuvi alikuwa anamwakikisha nani...??? Lukuvi ni mpinzani ehh??????? Jibu ni Lukuvi ni CCM....

Zanzibar komaeni kutoka kwenye mikono ya CCM....

ha ha ha wanaanza kusalitiana na kukataana.
 
Wazanzibar wapi unao waongelea wapambane wakati wale wa ccm wakapiga na makofi kabisa! halafu wenyewe kwa wenyewe hawaelewani, wengine wanatukanana ka kina Asha Bakari...
Wazanziba wanaojitambua nyie najua mnapewa maagizo Kanisani kwenu mchague serikali mbili.
 
Lukuvi kawavua nguo CCM wanafiki kama wewe Faiza! na wengine Wa ZNZ waliomo mle wanaongea kama mazuzu!!
 
Faizafoxy ushabiki wetu wa mitandaoni waCCM na CDM ni kama wa simba na yanga , hauna balaa zaidi ya kuchekana na kufurahi.Inapoingizwa dini na kushereheshwa na viongozi wa juu ni hatari kabisa. Je Ndio hii sababu Sheikh ponda anateseka na haki za kundi hili muhimu hapa duniani ? Dini yoyote haizuiwi kwa dola,mitutu wala serikali, zaidi yake huwapa mbinu wenye nia mbaya kutumika dini. Kama silaha refer Boko haram etc. Faizafoxy nakusifu kwa kuvua uchama na kukemea na Mimi nakemea. Tumewasha moto mgumu sana kuzima. LUkuvi na wenzie. Wanna passport Mimi na wewe? Tushabikie tuone matokeo.
 
Watu wakisema kuwa CCM ndio chimbuko la siasa za UKABILA na UDINI huwa hamuelewi, labda sasa hivi mtaanza kuelewa kwa namna wanavyojibambanua wenyewe pasipo shurti yoyote...
 

Hahahahaha,nacheka kwa huzuni,maana leo wametupiwa virago mchana kweupeee na kina Lukuvi,tena "wasaka tonge" CCM Znz wakiwa wanachekelea tu,namsifu FazalFoxy walau anajitutumua kuhoji japo ni huku JF,hao wengine wanasikilizia maumivu ya kutupiwa virago kimya kimya.
 
Wazanziba wanaojitambua nyie najua mnapewa maagizo Kanisani kwenu mchague serikali mbili.

Acha mambo ya kutunga.wewe umepewa maagizo na kanisa lipi.usiunganishe wongo kusema matatizo yako
 

Kwa kumshambulia LUKUVI moja kwa moja umeishambulia CCM na wewe ni Mpenzi, Mwanachama na pia ni Mshabiki mkubwa wa CCM na hiki anachokifanya LUKUVI ni mojawapo ya maneno na hoja zao za kupinga Serikali 3 na wewe Faizafox ni muumini wa Serikali 2 zinazoshabikiwa na CCM.
Swali! Je hauoni kama hiki ulichokiandika ni UNAFIKI wa waziwazi kwani ulichokiandika ni tofauti na unachokishabikia?
 
Acha mambo ya kutunga.wewe umepewa maagizo na kanisa lipi.usiunganishe wongo kusema matatizo yako
Wewe kauzu kweli, Lukuvi mwenyewe kakiri katoa maelekezo Kanisani wewe unapinga.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…