Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Hii bongo kakaa hafungwi mtu
 
Yani mtoto mdogo ila ana mambo makubwa sana sasa kwa umri ule mabwana wawili kweli?ndo mana akampa.pressuee kaka wa watu
Hao ni mabwana wawili ambao wamefahamika,bado ambao jamii haiwajui,huyo dogo anawakilisha madada ambao hawaridhiki na mwanaume mmoja,hawajiheshimu na wanatia aibu familia zao na watu wanaojiheshimu.

Kwa hali ilivyo huyo dogo kwenye mambo ya multiple relations atakua kakubuhu na yawezekana kwakua na idadi kubwa ya wanaume hivyo,anakutana na wanaume wengine ambao siyo wastaarabu wanamla tigo na anaweka siri kama ambavyo alikua anamficha Kanumba kua hana mwanaume mmoja.
 
Tatizo lingine ni ugumu wa ushahidi usiotia shaka,mfumo wetu wa Kiingereza nao uko taratibu sana.Kuthibitisha bila kuacha shaka si kazi ndogo.
 
Adhabu ya chini je?
 
Hii sentensi ya mwisho Dada nimekuelewa mnoo natamani huyu mama awe mtuhumiwa hata Mimi!
 
That is not a murder case. It's man slaughter. The bail is obvious.
Hafungwi.She was under 18 yrs during the incidence.
They were in love relations, The deceased himself call her at nite. No any weapon used.
Obvious she will be released although they will find her guility...
 
Kesi bado iko hai wakati marehemu keshaoza na kuoza.... Heri yeye aliyekufa ameepuka matatizo mengi sana... Imagine ndio ingekuwa vice versa sasa
Kaka mkubwa upo?
Mshahara wa dhambi ni mauti.vNa afanyaye uzinifu adhabu yake ni kupondwa mawe hadi afe. Maandiko.
 
Vipi muhanga mama Kanumba aliyepoteza mwanae kipenzi na aliyekuwa akimtegemea? Naona pole zenu kwa Lulu tu
Mimi nilishasema Kanumba rip,alikuwa paedophile,kifo chake ni sababu ya upumbavu wake.Simuhukumu lakini hiki ndiyo nilichokiona kwenye saga hili.Unamfundisha kazi mtoto mdogo huku ukimlala hii si haki.Yeye angefanyiwa hivyo na walimu wake au akina mzee Kipara na wengineo angefika hapo alipofika.He was misanthropist.
 
Judicial hunch itamuongoza jaji kuamua ila haipungua miaka mitano.
Itategemea na hoja za upande wa utetezi pia..hasa hyo ya umri mdogo na muda ambao alikaa rumande utatosha kuwa kama sehemubya adhabu
 
Itategemea na hoja za upande wa utetezi pia..hasa hyo ya umri mdogo na muda ambao alikaa rumande utatosha kuwa kama sehemubya adhabu
Adhabu itapunguzwa kutokana na mazingira hayo na mengine na uzoefu,mtazamo wa majaji na umri wa mtuhumiwa.Pia kwa kesi hizibanapewa wakili kwa gharama za serikali hivyo atasota lakini mwisho wa siku atarudi mtaani lakini hatakuwa kama alivyoleo.Mambo yatakuwa yamebadirika sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…