Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

hivi ilikuwaje akarudi uraiani na inakuwaje kesi imeanza upya
Shosti alitaka kumshauri awe KAMANDA si unajua anatokea chama kilikozaliwa,,, ili waunge na ile ya LISSU 2020 kuwe kweupeeee.

Opsss kumbe naota.
 
Binadamu wote ni sawa lakini binadamu wamefanya binadamu wote wasiwe sawa...kosa ww leo na akose manji...utaona tofauti kua na kesi ya mauaji wewe leo kama hiyo uone jamaa itakavyokufanya
 
SETH ANASEMA ALIKUTA PANGA CHINI YA KITANDA !!

KIPI ANAJARIBU KUSEMA HAPA?
-LULU ALIJIPANGA KUMUUA KANUMBA?
-LULU ALIINGIA CHUMBANK NA KUWEKA PANGA IILI AKIJA USIKU AMUUE?
BUUUT NANI HAKIKA KUHUSU PANGA KUWEPO NA KUWEKWA NA LULU?
LILIRIPOTIWA MWANZONI?.
LILICHUKULIWA KAMA KITJIBITISHO?

2.KANUMBA INASEMEKANA HAKUWA MNYWAJI POMBE,BUT ZILIKUTWA CHUPA KADHAA ZA JACK DANIELS CHUMBANI?
WAT IT ALIKUFA KWA KIWANGO KIKUBWA CHA KILEVI CHA MARA MOJA KWA MWILI USIOZOEA?
LAKIN MWILI WAKE JE?
ULIFANYIWA POSTMORTEM?
KILITHIBITIKA KIFO CHA KUSUKUMWA ?
WAT IF JERAHA ALILOPATA NI KUTOKANA NA UKEVI NA SIO KUSUKUMWA?

KWANINI SETH ALIBADILI SANA MAISHA BAADA TU YA KANUMBA KUFARIKI?
KWANJNI PIA ALIJARIBU KUWA KANUMBA B?
WAT IF HE WAS KANUMBA WANNA BE ALL THE WAY?.
WAT IF KANUMBA ALIULIWA NA MTU MWINGINE WANAYETOSHANA NGUVU NA LULU ALIJIKUTA TU VICTIM OF CIRCUMSTANCES?

KUNA MENGI SANA NI FUMBO!!
HALIJIBIKI KIRAHISI KWA KUSEMA TU ETJ NILIONA UPANGA CHINI YA KITANDA!

#LULUNICTIMKWENYEHILI#
 
Duhhh kumbew
 
Pasua kichwa ndo first love wake!!and after incident mtu wa kwanza kumpigia simu ni pasua kichwa ndo akamfata fasta kumkimbiza eneo la tukio!

Yule hakua na mmoja maana ile siku j3 kipindi cha mkas kinarushwa dogo nilikua nae airport mtwara alienda kwa mshikaji mmoja kuliwa
Asee..hiyo ni K moja?

Afuu bado na Joachim wa mtaani kwetu Sinza kumekucha alikuwa anakula hapo...na vizee vingine vya poscha!
 
hivi ilikuwaje akarudi uraiani na inakuwaje kesi imeanza upya
Kuna mahala nilisoma eti 'nilikwisha lala na fulani mara moja'.
Pengine aliyelala naye ndiye aliyepelekea mauti ya token, lakini pia inakuaje kitoto kidogo kama hicho kipindi kile kiwe na mahusiano ya kikubwa na wakubwa zake waliokifundisha sanaa?
What if kama akijitetea kuwa alitaka kubakwa?
Inabidi shaidi aeleze vizuri mahusiano yao ya ndani, maana inaonekana anafahamu vizuri
 
Ila huyu Seth Ana mengi ya kuiambia mahakama....Hata siku ile ya msiba anahojiwa na vyombo vya habari hakuwa anaonekana na huzuni wala mawazo alikuwa anatiririka tu.

Na hata maelezo yake ya Leo mahakamani kama Lulu akipata wakili mzuri basi kesi yote itahamia kwa Seth maana inaonyesha kuna mengi anayojua Ila hataki kuyasema pengine kwa Makusudi au kwa kuamua kufanya siri.

Humu Lulu anachomoka bila kufungwa....Kama Kanumba mwili wake ungekutwa na sumu,majeraha au angekufa kwa silaha Lulu angekuwa kwenye matatizo.

Ila kwa kesi jinsi ilivyo Lulu anachomoka na Seth asipopanga vzuri utetezi wake ataishia pabaya.
 
Back
Top Bottom