Lulu apanda kizimbani kwa mauaji ya Kanumba, Seth Bosco atoa ushahidi mkali

Ila huyu Seth Ana mengi ya kuiambia mahakama....Hata siku ile ya msiba anahojiwa na vyombo vya habari hakuwa anaonekana na huzuni wala mawazo alikuwa anatiririka tu.

Na hata maelezo yake ya Leo mahakamani kama Lulu akipata wakili mzuri basi kesi yote itahamia kwa Seth maana inaonyesha kuna mengi anayojua Ila hataki kuyasema pengine kwa Makusudi au kwa kuamua kufanya siri.

Humu Lulu anachomoka bila kufungwa....Kama Kanumba mwili wake ungekutwa na sumu,majeraha au angekufa kwa silaha Lulu angekuwa kwenye matatizo.

Ila kwa kesi jinsi ilivyo Lulu anachomoka na Seth asipopanga vzuri utetezi wake ataishia pabaya.
Mkuu acha uongo,Jamaa alikufa katika mazingira ya ugomvi uliomuhusisha Lulu na Lulu ndo anajua na ndo maana ni lone suspect.Seth ni shahid tuu,ushahidi wake unatakiwa uendane na material facts ya kesi husika,Seth akisema mambo ambayo hayana kushabihiana na kesi au kuonesha Lulu si muhusika inawezekana Lulu akachomoka lakini Seth hawez kuwa hatiani labda upande wa mashtaka ushtaki upya na Seth awe suspect.Kumbuka Lulu alisha plead manslaugthter,kama hii ni kweli kitakachofanyika mitigating process ya kumpunguzia ukali wa adhabu.
 
Ila huyu Seth Ana mengi ya kuiambia mahakama....Hata siku ile ya msiba anahojiwa na vyombo vya habari hakuwa anaonekana na huzuni wala mawazo alikuwa anatiririka tu.

Na hata maelezo yake ya Leo mahakamani kama Lulu akipata wakili mzuri basi kesi yote itahamia kwa Seth maana inaonyesha kuna mengi anayojua Ila hataki kuyasema pengine kwa Makusudi au kwa kuamua kufanya siri.

Humu Lulu anachomoka bila kufungwa....Kama Kanumba mwili wake ungekutwa na sumu,majeraha au angekufa kwa silaha Lulu angekuwa kwenye matatizo.

Ila kwa kesi jinsi ilivyo Lulu anachomoka na Seth asipopanga vzuri utetezi wake ataishia pabaya.
report ya daktar ilionyesha kanumba ubongo wake ulitingishika na kushuka nyuma..halafu mwili ulibadilika rangi.
sasa mtu unadhani ni kitu gani kimpate hadi ubongo ushuke nyuma ghafla.?si alibabizwa ukutani labda?
maekezo ya seth yanasema alimkuta k kaegemea ukuta huku hapumui.
kama alianguka mwenyewe why hako kalulu kalipoona haamki kakatimua mbio kuondok?
if she ia not guilty si angebaki akaomba msaada kwa seth wamkimbize hospital?
 
Kuna mahala nilisoma eti 'nilikwisha lala na fulani mara moja'.
Pengine aliyelala naye ndiye aliyepelekea mauti ya token, lakini pia inakuaje kitoto kidogo kama hicho kipindi kile kiwe na mahusiano ya kikubwa na wakubwa zake waliokifundisha sanaa?
What if kama akijitetea kuwa alitaka kubakwa?
Inabidi shaidi aeleze vizuri mahusiano yao ya ndani, maana inaonekana anafahamu vizuri
Ukitaka kubakwa ndo uue mtu? Hiyo ni self defence ambayo haijawahi kumchomoa mtu,inasaidia ku mitigate tuu yaan kupunguziwa adhabu na wala siyo kuachiwa huru.
 
report ya daktar ilionyesha kanumba ubongo wake ulitingishika na kushuka nyuma..halafu mwili ulibadilika rangi.
sasa mtu unadhani ni kitu gani kimpate hadi ubongo ushuke nyuma ghafla.?si alibabizwa ukutani labda?
maekezo ya seth yanasema alimkuta k kaegemea ukuta huku hapumui.
kama alianguka mwenyewe why hako kalulu kalipoona haamki kakatimua mbio kuondok?
if she ia not guilty si angebaki akaomba msaada kwa seth wamkimbize hospital?
Na Lulu kwa maelezo ya Seth,kwanza alimmwagia maji akawa haamki ndo akamfuata Seth.Kwanini hakutia ndulu mulemule chumbani? Kwann amfuate Seth asipige kelele palepale kuomba msaada? Je,hakupiga simu kwa wengine kuomba msaada na hapo hapo akawa anapanga kukimbia? Hapa mtu anaweza akaona kumbe siyo actus reus tuu, hata mens rea huenda ilikuwepo.Dogo hili jumba limemwangukia ,mvua kama tano hivi zikimkosa akarudi uraiani fee baada ya kesi hii aokoke na aachane na anasa za dunia ambazo mkuu Suleiman aliziita ubatili mtupu na kujilisha upepo.
 
Ishu niionayo hapo ni tiles hizi tiles za kung'aa sana huwa si nzuri hasa ukiwa na maji umetoka kuuoga ukapata pulukushani ya chochote kipelekeacho kudondokea au kujigonga kisogoni ukutani au sakafuni tegemeana na mazingira mara nyingi upelekea kifo.Labda kama una utaalamu wa jinsi ya kujizuia kuumia wakati unaanguka mfano judo unaweza ukapona.
 
hiyu tukio la kuanguka lilitokea dakika nyingi tu..akawa anahaha kumzindua..alpoona jamaa kawa wa baridi moyo haudundi ndo akaona akimbie msala amwachie seth.
aseme tu ukweli..nafsi yake itakuwa huru..sababu hakukusudia
anaweza sema uongo na kuficha ukweli.akawa huru uraiani lakini nafs yake haitokuwa huru.
 
Lulu inapidi athibitishe kupitia wakili wake kwamba jamaa alipatwa na nini mpaka akadondoka.
 
hiyu tukio la kuanguka lilitokea dakika nyingi tu..akawa anahaha kumzindua..alpoona jamaa kawa wa baridi moyo haudundi ndo akaona akimbie msala amwachie seth.
aseme tu ukweli..nafsi yake itakuwa huru..sababu hakukusudia
anaweza sema uongo na kuficha ukweli.akawa huru uraiani lakini nafs yake haitokuwa huru.
Mkuu akithibitisha kwamba alimsukuma au kwa vyovyote bahati mbaya alihusika kwa body contact,itakuwa aliua bila kukusudia kifungo lazima.Wataangalia mazingira,utoto,wapenzi,msongo wa mawazo nk,watampunguzia .Akisema uongo hali inaweza kuwa mbaya.Bora akili atapigwa hata mvua tano,bado ni mdogo miaka mitano si mingi na anaweza akapta pardon hata ya rais.Mama yake Taji Liundi yeye alihukumiwa kunyongwa hadi kufa lakini Nyerere alimsamehe baadaye,amekufa natural death tarehe 7 january ,2017.
 
Huyo mama kama alikuwa na mapenzi na mwanaye angemkataza asijiunge na freemason kama inavyosemekana.. Yeye alikuwa anachekelea umaarufu wa mwanaye bila hata kuhoji unatokea wapi.. Sasa ndio anaisoma namba.

Kwahiyo mama Diamond nae ana la kujifunza hapa?
 
Kuna mtu ananidai vijisent hapa kanitishia kunipeleka mahakani nilimjibu kama binti lulu anakesi ya mauwaji sembuse mimi ya madai nikamwambia nenda sasa hivi tutapambana huko
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Na Lulu kwa maelezo ya Seth,kwanza alimmwagia maji akawa haamki ndo akamfuata Seth.Kwanini hakutia ndulu mulemule chumbani? Kwann amfuate Seth asipige kelele palepale kuomba msaada? Je,hakupiga simu kwa wengine kuomba msaada na hapo hapo akawa anapanga kukimbia? Hapa mtu anaweza akaona kumbe siyo actus reus tuu, hata mens rea huenda ilikuwepo.Dogo hili jumba limemwangukia ,mvua kama tano hivi zikimkosa akarudi uraiani fee baada ya kesi hii aokoke na aachane na anasa za dunia ambazo mkuu Suleiman aliziita ubatili mtupu na kujilisha upepo.

Tena unajua kiroho tunasema damu huwa inanena.believe me hilo tukio lina athari sana kwa lulu mwenyewe na kwa familia ya kina kanumba kiroho kuliko hata hiyo kesi inayoendelea hapo.ndo maana zamani tunaona kwenye biblia iliandikwa taratibu za kufuata ikitokea mtu ameuwawa lengo ilikua ni kuzuia hilo tukio lisitokee tena kwenye familia ya marehemu na pia kumuokoa na madhara ya damu huyo alieua.madhara ya damu ya mtu ni mabaya yanaenda mpaka kizazi cha nne.ndo maana lulu anatakiwa aende kwa watumishi wa Mungu wa kweli amalize hii issue isimsumbue japo ni ngumu sana.na mazungumzo na familia ya kina kanumba lazima ayafanye.awaeleze ukweli na ahahakikishe wanamsamehe kutoka moyoni.damu ya mtu mbaya sanaaaaaa asikwambie mtu aisee
 
Kesi bado iko hai wakati marehemu keshaoza na kuoza.... Heri yeye aliyekufa ameepuka matatizo mengi sana... Imagine ndio ingekuwa vice versa sasa
Hoja ya kusema muda mrefu umepita sio ishu kwa jamhuri maana kumbuka kesi za mauaji ya vita ya pili na ya kwanza ziliendeshwa hv karibuni
Kwahiyo miaka mitano kwa jamhuri ni jana tu
 
nikiangalia akina Malinzi, Aveva, Seth na Rugemalira(correct me) wote hao wamenyoa ndani ya utawala huu, sioni njia ya Lulu kutoka salama.....Mungu awe nae
 
Mmhh!kubadilika kabadilika kwa majizo tena alivyofumaniwa kwenye simu akataka kuachwa ndo akasettle kidogo ila akiachwa na majay ataiba mume wa mtu
Eeeh ni hatari bila shaka anapenda bubolobukubwa nifanyie mpango nisuuze,kama komba alimuweza yuko vizuri
 
Kuua bila kukusudia adhabu ya juu ni kifungo cha maisha.Anaweza akaokolea na utetezi wa umri kama ikithbitika alikuwa bado minor,vinginevyo aprove self defense ama vinginevyo.Lakin vyovyote iwavyo sioni Lulu akiwa aquitted,atafungwa walau miaka mitano.Kumbuka kesi ya Pistorius,ilikuwa mistake of fact lakini yuko ndani had leo.
Lakini huku kwetu mistake of fact unaachiwa huru refer Sultan maginga
 
Back
Top Bottom