Lupaso, Mtwara: Kulikoni Rais Magufuli? Haonekani kwenye ibada ya kumuaga mpendwa wetu Hayati Benjamin Mkapa

Huo upinzani wenu kiki ni JPM au?
Mmetuchosha,JPM this JPM that...
Hamna sera kazi fitina tu humu,nje ya JF story ni tofauti.
Uzeni sera zenu tuskie.
 
Chuma kimeingia sasa... Alikua Anasubiri mmalize shughuli zenu zote msimshindishe njaa hapo

Hizi protocal hizi Aisee!
 
Ila leo kuna mabadiliko mengi tofauti ya kawaida, hasa kwa hawa walinzi/wasaidizi wake. Mawasiliano na ukaribu leo umekuwa mkubwa kuliko. Na nimeona wakimkatalia MC jambo, pengine itakuwa ni kuhusu ratiba ya mheshimiwa.
 
Tangu jana live tunaona kiongozi wa ulinzi(kiongozi wa mabodigadi) wa Rais ktk picha ananongona sana kuanzia walipokuwa airport Mtwara jana na hata hapa leo Lupaso Masasi.

Kuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.

Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla.”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo.
 
Alafu watu bwana eti nenda twitter nenda twitter ..umeshindwa kusema weka io link ya twitter basi
 
Ila leo kuna mabadiliko mengi tofauti ya kawaida, hasa kwa hawa walinzi/wasaidizi wake. Mawasiliano na ukaribu leo umekuwa mkubwa kuliko. Na nimeona wakimkatalia MC jambo, pengine itakuwa ni kuhusu ratiba ya mheshimiwa.
Inaonekana leo hatasimama kuongea kwa muda mrefu. Maana ilikuwa aongee naona kasimama kampa Kikwete aongee then atafuatia Mwinyi. Naona yeye atamalizia kidogo tu mwishoni.
 
Hukuwa na subra tu, ameshafika.
 
kuna amaa
kuna jamaa alisema humu ''kama ✌wamechelewa basi hakuna kuingia funga milango'' wakafungiwa na hawakuweza kumuaga mpendwa wao 😭😭😭 . tulipofikia ni pabaya
 
Hapana, nadhani ni protocol tu. Wakiweka mambo yao sawa ataudhuria.

Wajayat wanaojua umuhimu wa elimu wanaendelea kupiga kitabu na wanaendelea kufurahia miondombinu ikiwepo sekondari ya yatokayo na maafa ya tetemeko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…