Wewe unajifunza kwa Mkapa! Toka enzi na Enzi walikuwepo wababe wa vita Akina alexander the great, Mafarao wa misri, wafalme waliotukuka kibao lakini wao pia na wewe na mimi bila uzuri wetu ama ubaya wetu tutalala kama wao. - Apumzike kwa Amani BWM.Nilichojifunza kifo cha mkapa ni kwamba hata ukiwa mbabe duniani, mbinguni wote sawa, pamba zitahusika kwenye matobo yote ya mwilini
Unamuinea wivu Joket?Usikute ndo kamcheleqesha.
Labda hicho ndicho kilichomchelewesha!Mama yetu mpendwa, mke wa Rais John pombe magufuli hajaonekana katika mazishi ya Marehem benjamin mkapa. Nini tatizo? Hata kwenye kumuaga hajaonekana.
Marais wengine mbona wapo sambamba na wake zao?
Hata hivyo 'chuma' kilitakiwa kifike kwa wakati ili kwenda na ratiba ya shughuli.Mnapenda sana kupiga ramli. Chuma iko ngangari ngunguri
dah acha tu sijui yule kilaza wa fb atawaambia nn watuHahaha.. Wewe ni fungu la kukosa
Unamuinea wivu Joket?
You are G TKuna taharuki fulani inayoashiria kuna jambo. Podium ilipoletwa alitakiwa aongee yeye, ikabidi aitwe Shein, Shein alipomaliza muongoza shughuli alitangaza kuwa Rais anatakiwa aongee, walinzi wakampa ishara aache kwanza lakini Mzee akasimama akawaita wastaafu Kikwete na Mwinyi.
Kikwete akazungumza japo kwa utani ila alimaanisha “Mheshimiwa Rais tuwe tunapeana taarifa kabla.”
Kwa mtu yeyote mwenye akili timamu lazima atang’amua jambo.
Mbona leo ameenda? Mtakuwa na cha kujibu?Magufuli aendagi kwenye mazishi full stop.
Alishakatazwa na Mganga wake,.
Nashangaa mnaulizauliza.
Ni maoni yao na hata wewe unaweza kupeleka yako kupinga au kukubali.Hivi mzee anajua anachoongea? Je Kama Mkapa alikuwa mchapa kazi na hakuwa na masihara na kazi,kwanini hakutaka aongezewe miaka Kama anavyofanya Sasa kwa magufuli
Hahaha wazee wa lawama si unajua tenaHahahaha, JF now nowadays inapoteza sifa, Umati wote uliopo lupaso ,wamekosa info kwann rais kachelewa msibani
Watu wanatoa lawama wkt walikua hawajui muhusika yuko wapi ,hahahaha
Msije mkawaita wasaliti watakapopanda majukwaani kumnadi Magufuli na kuwaponda wapinzani. Subiri kampeni zianzeKwa taarifa yako wasiompenda jiwe ni wanaccm baada ya jamaa kukifanya chama mali yake binafsi hakuna wa kuhoji chochote.
Juzi Lissu kasema hata kinana na makamba hawako salama na hutakuja kusikia wakikanusha hii kauli ya Lissu maana ndo ukweli wenyewe....
Acheni kusingizia watu wengine.
Hata Mimi nimechoka kabisa,yaani hata kumpa nafasi mwenyekiti wa Kijiji Cha lupaso kwa niaba ya wanyonge wenzake wameshindwa? That was not fairSijaona mnyonge hata mmoja au mkulima wa korosho ameitwa kuweka shada la maua.
Kweli uongozi ni vitendo. Hahaa!