Wasaambaa wameamkaNa bado
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasaambaa wameamkaNa bado
Wang”oe tu na waende salamaHuko ndiko jamaa akiona lazima waisome namba, hata umeme watang'olewa nguzo
Wataulizwa baadae na m.kiti. Nini kimetokeaResearch inafanyiwa mitaa ya Lumumba unategemea nini, anyone can do that.
✔️The book of ccm is in the last page
~THE END~
Kilichobaki ni kumkataa Magufuli, aachwe abaki na vibaraka wake wa maccm mpyaSasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Mbona tayari kishakataliwa !Kilichobaki ni kumkataa Magufuli, aachwe abaki na vibaraka wake wa maccm mpya
Unaleta ya mwaka 47!Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Kujifari imo vilevileTumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Jana uliona Mbeya dada kipepe? Pia angalia watu wa Mungu wanamuombea kwa furaha kubwa.Mbona tayari kishakataliwa !
Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Jibwa koko in Manji voice ubwa yenue
eti chukua mbwa wenu watu wana visa 🤣🤣🤣🤣
Mungu yupi unamsema? tokea lini mungu akawa kwa mtu mwenye roho mbaya mpenda visasi anayetumia vyombo vya dola kuwatesa wananchiTumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Weka jibu la maana nakufa hapo hapo, mpigie polepole akuambie useme niniKwani tatizo hapo lipo wapi?! Una hofu ya kujaza uwanja?! Kila chama kina mbinu zake..CCM inatumia wasanii. Uhamasishaji kwa kutumia makada na hata kutoa usafiri.. the end justifies the means...hakuna tatizo kabisa...wawe wamepewa usafiri au hata pisho no problem..chadema nao wanna mbinu zao...nitaziweka baadaye kutokana na jibu lako kwa comment hii..
Hutajua peke yako usiwasemee wengine ambao wameamka hawana mawazo ya 2015 kipindi ambacho watanzania walikuwa na Amani mioyoni, ujinga unao wewe jiongeze mwenyewe siyo kutafuniwa kila kituBila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
😁😁😁😁wenyewe hatutaki kusikia ndio kwanza first page tupo.The book of ccm is in the last page
~THE END~
Corona ipo Tanzania mpaka sasa watu wanakufa lakini hawasemi kwa kuogopa kutengwa na majirani rafiki, kasi imepungua kidogo kwa kuwa watu wanakunywa tangawizi kwa wingi lakini corona ipo haijaisha kwa 100%Wewe unahangaika kuwajibu watu wasiokuwa na uelewa wowote kuhusu hilo jambo.
Kiufupi ni kwamba Magufuli alielekea kuliangamiza taifa kwa kukosa uelewa wa magonjwa ya mlipuko na kwa sababu ya kiburi tu.
Wakati corona ilikuwa haijulikani itasababisha maafa kiasi gani, kiongozi hawezi kukomaza tu shingo na kuhatarisha maisha ya watu wake.
Lockdown au bila lockdown, sisi hatuna tofauti yoyote na nchi zinazotuzunguka. Tofauti yetu ni kuwa vilaza tuliobahatika tu huku bila kujua kilichotuepusha kuangamia. Ujuha zaidi ni kutotaka hata kujishughulisha kujua kwa nini corona haikutamba katika maeneo yetu haya; na badala yake tunajisifia ujinga wetu.
Tatizo mnajikusanya na kuvalishana mashati ya ccm mkizani itawasaidia, yani nyie hao hao mkusanyike, mvalishane mashati hafu hao hao muimbe hatumtaki ,Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.
View attachment 1586446
Nasubiri jibu, the end justifies the meaning.Kwani tatizo hapo lipo wapi?! Una hofu ya kujaza uwanja?! Kila chama kina mbinu zake..CCM inatumia wasanii. Uhamasishaji kwa kutumia makada na hata kutoa usafiri.. the end justifies the means...hakuna tatizo kabisa...wawe wamepewa usafiri au hata pisho no problem..chadema nao wanna mbinu zao...nitaziweka baadaye kutokana na jibu lako kwa comment hii..