Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Uchaguzi 2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

Sasa Kama hali ya 2015 imejirudia, mbona hamkushinda hy 2015.?
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Tumesikia, ila Dunia nzima hakuna Rais aliyefikia kiwango cha JPM. Ikiwa kwenye utendaji na kumtumaini Mungu. Wewe endelea na Mwabudu kuzimu TAL
Mungu yupi unamsema? tokea lini mungu akawa kwa mtu mwenye roho mbaya mpenda visasi anayetumia vyombo vya dola kuwatesa wananchi
 
Kwani tatizo hapo lipo wapi?! Una hofu ya kujaza uwanja?! Kila chama kina mbinu zake..CCM inatumia wasanii. Uhamasishaji kwa kutumia makada na hata kutoa usafiri.. the end justifies the means...hakuna tatizo kabisa...wawe wamepewa usafiri au hata pisho no problem..chadema nao wanna mbinu zao...nitaziweka baadaye kutokana na jibu lako kwa comment hii..
Weka jibu la maana nakufa hapo hapo, mpigie polepole akuambie useme nini
 
Bila kufafanua vema kubainisha ni Mbunge wa Jimbo lipi na wapi, huu NAO ni ujinga mwingine wa mleta mada, tutajuaje, je ikiwa ni ndio zile video za 2015 tutajuaje Sisi?
Hutajua peke yako usiwasemee wengine ambao wameamka hawana mawazo ya 2015 kipindi ambacho watanzania walikuwa na Amani mioyoni, ujinga unao wewe jiongeze mwenyewe siyo kutafuniwa kila kitu
 
Wewe unahangaika kuwajibu watu wasiokuwa na uelewa wowote kuhusu hilo jambo.

Kiufupi ni kwamba Magufuli alielekea kuliangamiza taifa kwa kukosa uelewa wa magonjwa ya mlipuko na kwa sababu ya kiburi tu.
Wakati corona ilikuwa haijulikani itasababisha maafa kiasi gani, kiongozi hawezi kukomaza tu shingo na kuhatarisha maisha ya watu wake.

Lockdown au bila lockdown, sisi hatuna tofauti yoyote na nchi zinazotuzunguka. Tofauti yetu ni kuwa vilaza tuliobahatika tu huku bila kujua kilichotuepusha kuangamia. Ujuha zaidi ni kutotaka hata kujishughulisha kujua kwa nini corona haikutamba katika maeneo yetu haya; na badala yake tunajisifia ujinga wetu.
Corona ipo Tanzania mpaka sasa watu wanakufa lakini hawasemi kwa kuogopa kutengwa na majirani rafiki, kasi imepungua kidogo kwa kuwa watu wanakunywa tangawizi kwa wingi lakini corona ipo haijaisha kwa 100%
 
Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake.

View attachment 1586446
Tatizo mnajikusanya na kuvalishana mashati ya ccm mkizani itawasaidia, yani nyie hao hao mkusanyike, mvalishane mashati hafu hao hao muimbe hatumtaki ,
Hizi ni siasa za kishamba.
Ngoja msubiri mbichi.
 
Kwani tatizo hapo lipo wapi?! Una hofu ya kujaza uwanja?! Kila chama kina mbinu zake..CCM inatumia wasanii. Uhamasishaji kwa kutumia makada na hata kutoa usafiri.. the end justifies the means...hakuna tatizo kabisa...wawe wamepewa usafiri au hata pisho no problem..chadema nao wanna mbinu zao...nitaziweka baadaye kutokana na jibu lako kwa comment hii..
Nasubiri jibu, the end justifies the meaning.
 
Back
Top Bottom