Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

Lyatonga Mrema: CCM wamenichezea rafu Uchaguzi Serikali za Mitaa, aonya

Huyo wange mtwanga na virungu ingekuwa sawa tu ili akili imrudie maana alikuwa anajikomba na kuwasaliti wapinzani wenzake. cutelove,
 
Anaumwa huyo msamehe bure
Hivi huyu Mrema si ndiyo alisema kwenye kikao chao cha Halmashayri kuu ya TLP wamekubaliana kupitisha jina la John Magufuli kutoka chama cha CCM kuwa ndiyo mgombea,wao kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020??

Huyo sasa amejigeuza kutoka mwanasiasa na kuwa comedian!
 
Huyu mzee aachane na siasa kwanza ni mgonjwa Mapovu na hio presha atakufa kabla ya siku zake
 
Ccm hainaga rafiki maana hata wao kwa wao wana salitiana
Kwanza ilikuaje walichukua form na kuzirejesha wakati zoezi limeshafungwa?

‘Ukiasi kwa Upanga utauawa kwa Upanga’- Fredrick Chiluba Rais wa pili wa Zambia
 
Huyu Mzee Lyatonga keshajikoa sijui anahangaishwa na nini... Chama chake TLP ni CCM-B hilo liko wazi na siku zote amekuwa mtu wa kuwasaliti wenzake akitetea CCM. Acha aisome namba!
 
Mbali ya Mrema kulalamika kuwa amefanyiwa hujuma katika uchaguzi wa serikali za mitaa.

Zifuatazo ni rejea ya malalamiko aliyowahi kuyatoa katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ambayo ni lawama zisizo na uthibitisho

"Vyama hivi vya UKAWA ndiyo niliviona Vunjo mimi nikiwa mpinzani wakanikataa na wakanichangia kama mpira wa kona, badala ya kupambana na CCM wakapambana na mimi, na walimleta Mbatia agombee Vunjo ili kuning'oa na kunimaliza kisiasa na wamefanikiwa" - Mrema.

"Huwezi kuhamia Vunjo kwa lengo la kunitoa mimi ambaye ni mpinzani mwenzako halafu ukiangalia historia yangu ni kubwa sana kwenye nchi hii, badala ya kuona ni namna gani ya kushirikiana na mimi lakini walining'oa" - Mrema.

Kwaujumla si mshindani kwakuwa hakubali kushindwa bali hulalamika bila sababu zenye uthibitisho.

pic%252Bmrema.jpeg
 
Mrema anafuatwa na Mbowe kuwa mwenyekiti wa maisha ,huu mwisho wake na Mbowe atakuwa hivihivi


State agent
 
Mzee mnafiki sana huyu, aliwakataa wapinzani wenzake na kujiunga na CCM eti na kupitisha magu kuwa mgombea wa uraisi 2020 'kupitia" TLP (maana alisema haweki mgombea urais) alifikiri huu upuuzi wake ungemfurahisha jiwe na kumuachia kiraracha aitawale, thubutu amepigwa kata funua haamini alichokiona kuoka kwa rafiki yake. Unafiki mbaya.
 
Mzee mnafiki sana huyu, aliwakataa wapinzani wenzake na kujiunga na CCM eti na kupitisha magu kuwa mgombea wa uraisi 2020 'kupitia" TLP (maana alisema haweki mgombea urais) alifikiri huu upuuzi wake ungemfurahisha jiwe na kumuachia kiraracha aitawale, thubutu amepigwa kata funua haamini alichokiona kuoka kwa rafiki yake. Unafiki mbaya.
Watu wengine muwe mnawaonea huruma badala ya kuwalaumu. Lengo la wanasiasa wote wa Bongo ni kupalilia matumbo yao. Japokuwa hili siyo jambo zuri lakini kwa Mrema tumhurumie.
 
Wenzake walipojitoa aliwaona wajinga na yeye mwerevu!
Kwnza kulalamika kwake inawezekana ikawa style tu

Ova
 
Ccm ni zaidi ya simba, usitegemee huruma ya ccm hata siku moja
 
Back
Top Bottom