Komeo Lachuma,
Kumekucha haya twelezane.
Kumekucha haya twelezane.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajifanya amesahau Siasa za NJI HII?
Mrema msanii tu na mganga njaa, hana maana kabisa huyu.
.Yani Mzee Mrema tumempa kazi nzuri tu na bado anatukoromea, kweli mfadhili Mbuzi.
Hivi huyu Mrema si ndiyo alisema kwenye kikao chao cha Halmashayri kuu ya TLP wamekubaliana kupitisha jina la John Magufuli kutoka chama cha CCM kuwa ndiyo mgombea,wao kwenye uchaguzi mkuu mwaka 2020??
Huyo sasa amejigeuza kutoka mwanasiasa na kuwa comedian!
Haya Lyatonga
Kwanza ilikuaje walichukua form na kuzirejesha wakati zoezi limeshafungwa?
‘Ukiasi kwa Upanga utauawa kwa Upanga’- Fredrick Chiluba Rais wa pili wa Zambia
Watu wengine muwe mnawaonea huruma badala ya kuwalaumu. Lengo la wanasiasa wote wa Bongo ni kupalilia matumbo yao. Japokuwa hili siyo jambo zuri lakini kwa Mrema tumhurumie.Mzee mnafiki sana huyu, aliwakataa wapinzani wenzake na kujiunga na CCM eti na kupitisha magu kuwa mgombea wa uraisi 2020 'kupitia" TLP (maana alisema haweki mgombea urais) alifikiri huu upuuzi wake ungemfurahisha jiwe na kumuachia kiraracha aitawale, thubutu amepigwa kata funua haamini alichokiona kuoka kwa rafiki yake. Unafiki mbaya.
Itakua yupo likizoLakini si aliteuliwa na Jpm kule magereza!au kazi imeisha
😂😂😂😂😂😂😂😂Mrema alipiga Kampeni ndogo Ndio maana kashindwa