M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

Kwanini sio kila mwezi uwe mwaka?
 
Wajaribu kwenda kwenye mfumo wa UTT, ili iwe possible ku - withdraw kiasi cha faida monthly, hata ikibidi hawa wa monthly faida iwe 10.5%,ya capital installed. UTT itakuwa niagie, but this is business!
 
Hii sekta passive income inakuja kwa kasi. Voda 13%, nimeona bank ya Azania na wao wameleta 12.5%, nasubiria atakayeleta 25% hata 100%🤣
Hamna atakayezidi ile 15%+ ya BOT kwa sababu wote hao ni madalali wa BOT.

Mnawapa hela wao wanapeleka BOT wakipewa ile 15%+ yao wao wanawapa 13% wanabakiwa na 2% faida yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…