M-wekeza kutoka Vodacom Riba 13%

 
Kule juu umesema 13% kwa mwaka huku chini unasema mpaka ukiona neno mpaka jua hapo kati kuna makolokolo kibao unaweza ukaambua 1% au 0.25% kwa Mwaka, ongeza maelezo
Hiyo nikuwa kama ukiacha mtaji kwa mwaka mzima utafikisha faida ya asilimia 13
 
Ukipata faida ya asilimia 13 ni sawa na kusema ulichoweka kwao kikakaa mwaka mzima kinakuja kukurudishia 1.13 yake.

Kwa sie wa kubeti hii 1.13 unaipata kwenye mechi moja tu, yaani ndani ya dakika zisizozidi 100 (nimeweka na dakika za nyongeza) tayari ushapata hela ambayo wa kwenye M-Wekeza anaisubiri mwaka mzima.

#Bet what you can afford to lose#
 
Mnasema hakuna makato ya ziada,
Je hiyo faida ya 13% haikatwi Withholding Tax ya 10%??
 
Hii unaomba over 0.5 goals 1Half ushaipata ndani ya dakika 45. Tena hii inakuwa na faida ya kuanzia 20%.
 
Hawa jamaa kuna vipengele vichache wakiviingiza kwenye mfumo wao, watakolect milioni and millions!, aidha wakishindwa monthly waweze kutoa gawio kila baada ya miezi mitatu kwa anayehitaji kupata fedha za kujikimu,
Kabisa mkuu
 
Sawaaa.... ahsante kwa taarifa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…