M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

Mr Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2019
Posts
515
Reaction score
520
M23 wakamata mji wa Kishanga tena, Jeshi la Congo na washilika wake FDLR,MAIMAI NYATULA,CODECO,MAIMAI YAKUTUMBA NA WAZUNGU MERCENARIES waliopewa kazi na DRC wakimbia.

M23 yatangaza vita rasmi kupambana na hivo Vikosi kwa kuwa wanafanya Mauaji ya kuwalenga Watusi,Hema na wanaozungumza Kinyarwanda kwa ujumla yani Genocide!.

Serikali ya DRC ICC inawasubilia.


Your browser is not able to display this video.
 
Kaka ushawahi kukaa kongo DRC kivu kaskazini au kivu kusini kaka????Au katika mji wa kishanga???
 
Ila watusi wanavyowalenga wahutu huko rwanda na DRC sio genocide
 
Hapa nasikia Harufu ya North and South Kive Republic!🤣🤣
Ukiona Serikali inaanza ku target Raia wake kama BASHIR kule SUDAN alicho kifanya Darfur basi hivo.

Mark my Word!
Tarehe 27/01/2023
Congo ikatae pendekezo hilo kwa nguvu zote. By the wa South Sudan amani ipo?
 
We ona hapa sasa! yani Vitoto vimesha lisha chuki eti Watusi barudie kwabo!. enzi za Habyarimana kule Rwanda ilikuaga hivi.👇
Your browser is not able to display this video.
 
Congo ikatae pendekezo hilo kwa nguvu zote. By the wa South Sudan amani ipo?
Tsisekedi Mjinga, kuwa kataa M23, kuwa bagua na kuua familia zao ndio ita mcost kupoteza hilo eneo.
 
Kudos M23.
 
Hivi ndio hao maharamia wamarekani wametuonya kuwa makini na machavuko(uvamizi) unaweza jitokeza ghafla nini...Sababu hata sisi tupo karibu nao kweli hivyo nirahisi kuvuka mipaka yetu huku Tanzania 🇹🇿
 
Hivi ndio hao maharamia wamarekani wametuonya kuwa makini na machavuko(uvamizi) unaweza jitokeza ghafla nini...Sababu hata sisi tupo karibu nao kweli hivyo nirahisi kuvuka mipaka yetu huku Tanzania 🇹🇿
Udini inawezekana ila ukabila hapana!
 
Huu mzozo haukutakiwa kumalizwa kwa Vita, wataua wangapi?, wakae mezani wawekane sawa, Vita ya wenyewe kwa wenyewe haiishagi, kadri unavyoua unaodai ni maadui wako, ni unazidi kupanda kisasi kikali kwa kizazi hicho F. Tsheked akitaka kuitawala DRC akae mezani na wenzake wawekane sawa. Unapigana na adui ambae ni raia wa nchi yako na mzawa wa hapo, huo ugomvi hauishagi kamwe.
 
Waasi hawa wanajieleza wenyewe:

Your browser is not able to display this video.


Ikumbukwe hawa waliwahi kupongezwa kwa walichokiita kujiondoa kwenye mji mwingine siku za nyuma.

Hawa hawastahili pongezi wala kusikilizwa kwa lolote.

Bila ya kutumia nguvu zinazostahili kuwafurusha wahuni hawa kutoka kokote waliko DRC, amani ya Congo ingali mbali sana.

Source: DW.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…