M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

Majeshi yanazuiliwa kushambulia na tatizo hapa utaratibu uliopo mbovu ,bila kubadili baadhi ya mambo kazibure
visingizio viingi amna lolote.hao jamaa washashindikana cha msingi wakae nao chini wanataka nini wapatiwe yaishe amani ipatikane.
kuwazuia kwa mtutu wameshindwa.

ni aibu kilasiku tunasikia jeshi la Congo linatupa ailaha chini linasepa kuwakimbia hawa wazee wa kazi.
 
Congo wameamua kuwa wahuni wanawafanyia genocide raia wake wa Banyamurenge, huwezi kukaa ndani unasubiri waje wakuue, only solution ndio hii moto kwa moto, sitashangaa wakipiga mpaka Kinshasa kama walivyomfanyia Mobutu
 
visingizio viingi amna lolote.hao jamaa washashindikana cha msingi wakae nao chini wanataka nini wapatiwe yaishe amani ipatikane.
kuwazuia kwa mtutu wameshindwa.

ni aibu kilasiku tunasikia jeshi la Congo linatupa ailaha chini linasepa kuwakimbia hawa wazee wa kazi.
Mbona JWTZ chini ya Mwakibolwa aliwachapa mpaka wakakimbilia Rwanda kipindi cha JK.
 
Sisi ni Africa sisi ni ndugu!kupigana kwanini!!?

Kwanini tunauana ewe Africa!!?

Ni Mali tu!!?hatuwezi kukaa pamoja tukaongea!!?

Kama makubaliano yalikuwa kivu iwe chini ya tutsi na tutsi ikaonekana ni threat kwa Congo si wangetengeza katiba iliyohuru!!?

Kuliko watu kujuana ni Bora katiba iliyohuru kwa wote ingesaidia watu kuishi kwa amani kuliko kuchapana risasi kama Sasa!!

AFRICA UNATIA AIBU AFRICA!
 
Back
Top Bottom