M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

Congo anapaswa kuwa mtoto wetu pendwa kama ilivyo Burundi ni muda sasa wa kujitanua na nadhani tunapaswa kufanya hivyo Kwa sasa.
 
huelewi lolote kuhusu hilo unatakiwa kujua kwann genera mwakibolwa chini ya JwTz aliwasambaratisha ,serikali yetu ilikumbana na nn baada yakikwete akiwa mwenyekiti jumuia ,baada yakubaili kanuni
Gen.James Aloyce Mwakiborwa alipiga kazi moja matata sana,wakati South Africa wakijiandaa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za M23 wanapewa taarifa tayari jw washamaliza kazi.
sasa kama kuna kanuni zipo wakae wazungumze ni aibu jeshi la drc kilasiku wanakimbia ichi kikundi cha M23.
 
Shida huo ni mradi wa UN(munusco)....endapo unataka uvurugwe turudie Tena labda tue hatuhitaji misaada Tena(Mimi sitaki misaada)......kikwete mwenyewe aliyumbishwa Sana kipindi kile,ikabidi zile kanuni nifutwe na iendelee,chapter 6 chini ya UN..hivyo tunapotezeana muda
 
Usikatae PK ndo anafanya banyamulenge wachukiwe.
Mnaua Banyamulenge raia wa nchi yenu mnamsingizia PK, acha M23 wawanyooshe mmekosea sana mahesabu mtasafishwa nyie sasa na sitashangaa wakajikatia kipande chao kama Eritrea or Somali Land walivyoamua na mtapigana for the next 50 years mpaka siku mtakapo pata akili
 
Gen.James Aloyce Mwakiborwa alipiga kazi moja matata sana,wakati South Africa wakijiandaa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za M23 wanapewa taarifa tayari jw washamaliza kazi.
sasa kama kuna kanuni zipo wakae wazungumze ni aibu jeshi la drc kilasiku wanakimbia ichi kikundi cha M23.
9576157997_9b0034b4a9_b.jpg
 
Hiyo ilikuwa janja ya nyani tu. Ninakazia hawa si wa kusikilizwa wala kupongezwa. Hawa ni wa kufurushwa kibabe tu.
Nchi yao iwafurushe waende wapi? kwa akili ya Congolese kama wewe ndio maana wanapigana, nawaunga mkono sana M23 na ikibidi sasa wasiishie tuu kuwatoa, wajikatie kipande chao watangaze uhuru kabisa then vita ianze kupigwa rasmi kam Eritrea na Ethiopia or Sudan na South Sudan, huwezi kuwafanyia wananchi wako genocide ukafikiri na wewe utapona
 
Kwani majambazi huwa wanafurushwa kwenda wapi kama si jela au makaburini?

Mapambano yenye kuhusisha kubeba silaha hayakubaliki.

Habari ndiyo hiyo.
 
Congo waache genocide wanayowafanyia Banyamurenge, huwezi kuua watu na kuwanyima haki zao za kiraia ukafikiri watakaa chini wakuangalie, Congo wameamua kutumia sumu za FDLR na maimai kuwamaliza Banyamurenge, this time nchi mpya itazaliwa ndani ya Congo, wenzenu wako tayari kwao hii ni survival watapigana hata for the next 30 years, naona South Sudan, Eritrea or Somali Land zikizaliwa ndani ya Congo
 
Huu mzozo haukutakiwa kumalizwa kwa Vita, wataua wangapi?, wakae mezani wawekane sawa, Vita ya wenyewe kwa wenyewe haiishagi, kadri unavyoua unaodai ni maadui wako, ni unazidi kupanda kisasi kikali kwa kizazi hicho F. Tsheked akitaka kuitawala DRC akae mezani na wenzake wawekane sawa. Unapigana na adui ambae ni raia wa nchi yako na mzawa wa hapo, huo ugomvi hauishagi kamwe.
👍Ndio maana Mama kaona mbali Rais wa Congo alipo kuja kuomba msada tena Mama kagoma kimya kimya!🤣. internal issues nenda ka pambane mwenyewe.
 
Mnaua Banyamulenge raia wa nchi yenu mnamsingizia PK, acha M23 wawanyooshe mmekosea sana mahesabu mtasafishwa nyie sasa na sitashangaa wakajikatia kipande chao kama Eritrea or Somali Land walivyoamua na mtapigana for the next 50 years mpaka siku mtakapo pata akili
Yani hawa Wacongo bila kutumia akili yao wanapata ushauri kutoka kwa FDLR na Interahamwe kuua kama wao walivo fanya Rwanda 1994.
 
Back
Top Bottom