Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..tatizo liliiisha.
..m23 wamepewa silaha upya na Rwanda.
Walianza mwaka ganiNa wahutu si ndo walianza kuwaua watutsi
Kitshanga.Mji muhimu wapi na wewe.
mikataba si ipo au,hujui kama kuna makubaliano unahisi ao M23 wamekurupuka kudai wanachodai?Wewe unauelewa unachokifanya hapa.
Hao wanataka kupata mamlaka kamili ya Kivu Kusini kama wewe ni serikali upo tayari kuwaachia?
Usikatae PK ndo anafanya banyamulenge wachukiwe.We ona hapa sasa! yani Vitoto vimesha lisha chuki eti Watusi barudie kwabo!. enzi za Habyarimana kule Rwanda ilikuaga hivi.👇
View attachment 2497074
Gen.James Aloyce Mwakiborwa alipiga kazi moja matata sana,wakati South Africa wakijiandaa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za M23 wanapewa taarifa tayari jw washamaliza kazi.huelewi lolote kuhusu hilo unatakiwa kujua kwann genera mwakibolwa chini ya JwTz aliwasambaratisha ,serikali yetu ilikumbana na nn baada yakikwete akiwa mwenyekiti jumuia ,baada yakubaili kanuni
Hawapo serious wacongo cheguevara alienda congo kuwasaidia enzi hzo mbona aliondoka akawaacha kakuta watu wastarehe pombe na wanawake na hawajaacha hyo tabia bora names amekufa akipambana na mashogaBora Nemes angeenda kuwasaidia DRC
Shida huo ni mradi wa UN(munusco)....endapo unataka uvurugwe turudie Tena labda tue hatuhitaji misaada Tena(Mimi sitaki misaada)......kikwete mwenyewe aliyumbishwa Sana kipindi kile,ikabidi zile kanuni nifutwe na iendelee,chapter 6 chini ya UN..hivyo tunapotezeana mudaGen.James Aloyce Mwakiborwa alipiga kazi moja matata sana,wakati South Africa wakijiandaa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za M23 wanapewa taarifa tayari jw washamaliza kazi.
sasa kama kuna kanuni zipo wakae wazungumze ni aibu jeshi la drc kilasiku wanakimbia ichi kikundi cha M23.
Boss unaonekana uko hapa kueneza propaganda tuu na unaonekana hupendi watusiKagame mwenyewe alitaka kumuua felix
View attachment 2497274
Mnaua Banyamulenge raia wa nchi yenu mnamsingizia PK, acha M23 wawanyooshe mmekosea sana mahesabu mtasafishwa nyie sasa na sitashangaa wakajikatia kipande chao kama Eritrea or Somali Land walivyoamua na mtapigana for the next 50 years mpaka siku mtakapo pata akiliUsikatae PK ndo anafanya banyamulenge wachukiwe.
Gen.James Aloyce Mwakiborwa alipiga kazi moja matata sana,wakati South Africa wakijiandaa kufanya mashambulizi ya anga kwenye kambi za M23 wanapewa taarifa tayari jw washamaliza kazi.
sasa kama kuna kanuni zipo wakae wazungumze ni aibu jeshi la drc kilasiku wanakimbia ichi kikundi cha M23.
Chuma icho hapo uyo ndo kiboko ya M23.
Nchi yao iwafurushe waende wapi? kwa akili ya Congolese kama wewe ndio maana wanapigana, nawaunga mkono sana M23 na ikibidi sasa wasiishie tuu kuwatoa, wajikatie kipande chao watangaze uhuru kabisa then vita ianze kupigwa rasmi kam Eritrea na Ethiopia or Sudan na South Sudan, huwezi kuwafanyia wananchi wako genocide ukafikiri na wewe utaponaHiyo ilikuwa janja ya nyani tu. Ninakazia hawa si wa kusikilizwa wala kupongezwa. Hawa ni wa kufurushwa kibabe tu.
Nchi yao iwafurushe waende wapi? kwa akili ya Congolese kama wewe ndio maana wanapigana, nawaunga mkono sana M23 na ikibidi sasa wasiishie tuu kuwatoa, wajikatie kipande chao watangaze uhuru kabisa then vita ianze kupigwa rasmi kam Eritrea na Ethiopia or Sudan na South Sudan, huwezi kuwafanyia wananchi wako genocide ukafikiri na wewe utapona
Congo waache genocide wanayowafanyia Banyamurenge, huwezi kuua watu na kuwanyima haki zao za kiraia ukafikiri watakaa chini wakuangalie, Congo wameamua kutumia sumu za FDLR na maimai kuwamaliza Banyamurenge, this time nchi mpya itazaliwa ndani ya Congo, wenzenu wako tayari kwao hii ni survival watapigana hata for the next 30 years, naona South Sudan, Eritrea or Somali Land zikizaliwa ndani ya CongoKwani majambazi huwa wanafurushwa kwenda wapi kama si jela au makaburini?
Mapambano yenye kuhusisha kubeba silaha hayakubaliki.
Habari ndiyo hiyo.
👍Ndio maana Mama kaona mbali Rais wa Congo alipo kuja kuomba msada tena Mama kagoma kimya kimya!🤣. internal issues nenda ka pambane mwenyewe.Huu mzozo haukutakiwa kumalizwa kwa Vita, wataua wangapi?, wakae mezani wawekane sawa, Vita ya wenyewe kwa wenyewe haiishagi, kadri unavyoua unaodai ni maadui wako, ni unazidi kupanda kisasi kikali kwa kizazi hicho F. Tsheked akitaka kuitawala DRC akae mezani na wenzake wawekane sawa. Unapigana na adui ambae ni raia wa nchi yako na mzawa wa hapo, huo ugomvi hauishagi kamwe.
Yani hawa Wacongo bila kutumia akili yao wanapata ushauri kutoka kwa FDLR na Interahamwe kuua kama wao walivo fanya Rwanda 1994.Mnaua Banyamulenge raia wa nchi yenu mnamsingizia PK, acha M23 wawanyooshe mmekosea sana mahesabu mtasafishwa nyie sasa na sitashangaa wakajikatia kipande chao kama Eritrea or Somali Land walivyoamua na mtapigana for the next 50 years mpaka siku mtakapo pata akili