M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

Congo waache genocide wanayowafanyia Banyamurenge, huwezi kuua watu na kuwanyima haki zao za kiraia ukafikiri watakaa chini wakuangalie, Congo wameamua kutumia sumu za FDLR na maimai kuwamaliza Banyamurenge, this time nchi mpya itazaliwa ndani ya Congo, wenzenu wako tayari kwao hii ni survival watapigana hata for the next 30 years, naona South Sudan, Eritrea or Somali Land zikizaliwa ndani ya Congo

Kama ni suala la ndani la Congo kwa nini Rwanda haichezi mbali na mzozo huu?

Ninakazia:

https://www.jamiiforums.com/threads/mzozo-wa-congo-kwa-nini-mchokozi-asiwajibishwe.2060412/
 
Hakuna USHAHIDI wowote unaoonyesha felix Kaua mtu congo.
Felix KUINGIA madarakani kakuta nchi inashida tena yeye ndo anasimama mstari wa mbele KULETA amani, na kulinda banyamulenge.
Usidanganye watu hapa.
NYIE tuu rwandese mnachuki tuu na congo hakuna lolote .
M23 ni RDF wapo askari wengi sana wa RDF waliokufa congo
View attachment 2497270View attachment 2497272View attachment 2497273
HAWA WAHACHE ILA WAPO WENGI.
KWANZIA MWEZI WA 4 2022 MPAKA MWEZI 11 2022 .
WALIKUFA MILLITARY OFFICERS ZAIDI YA 34 HAO WANAOTABULIKA.

Proved mtu chake
Kwani hapo walikua vitani?we ndio unaleta propaganda za mtandaoni, M23 yenywe inawachakaza sasa jiulize RDF ikiingia itakuaje? yani FARDC +FDLR+MAIMAI NYATULA+CODECO na makundi mengine zaidi ya 130! M23 inawachakaza na kukimbia alfu eti RDF? kwa taarifa yako RDF ikiingia tu mwisho ni Kinsasha,Wanajeshi wa RDF 3000 tu!watosha kumaliza kazi.
Nchi itamegwa kwa kukosa maarifa kwa Viongozi wenu.
 
Naomba niletee USHAHIDI kuwa rwanda haihusiki na mgogoro na vita vya congo. Tumuone nano ni muhongo?
Kati ya mimi na wewe na mimi unaleta USHAHIDI wakwangu.
 
USITAKE KUKATAA WAPO ASKARI WENGI SANA WA RWANDA WAMEKUFA HUKO CONGO WE KATAA TUU HATA WAPO MAKANALI WALIOUWAWA.
HATA GAMES KABEREBE TUU ALINYING'ATANG'ATA KUHUSU KIFO CHA SECOND LUTEN PETER.
WAPO HATA MAKANALI WAMEKUFA HUKO CONGO MWAKA JANA.
 
Boss unaonekana uko hapa kueneza propaganda tuu na unaonekana hupendi watusi
MIMI NIWACHUKIE WATUTSI WAMENIFANYA NINI MIMI, HAKUNA LOLOTE WALILONIFANYA MPAKA NIWACHUKIE.
ILA MGOGORO WA CONGO KINACHOENDELEA KULE NDUGU YANGU NI UKATAILI TUPU.
HATA WACONGO WENYEWE WANAWAUWA WATUTSI KULE DRC (BANYAMULENGE) COZ WANAAMINI NDIO CHANZO CHA MATATIZO KULE DRC.
WANAWAONA WANAFANANA NA WATUTSI NA WAHIMA WALIOVAMIA CONGO MWAKA 1996 NA 1998.
KAMA UNGELIJUA KAGAME NA MUSEVENI WALICHOKIFANYA KULE DRC MWAKA 1996 KAKA USINGESEMA , KILICHOTOKEA KULE NI UKATILI TUPU MKUU.

Kosa la Felix na watangulizi wake,kosa wanaloliganya kubwa ni kuwa ita raia wako waasi na hawatakiwi kuwapo congo.hii Vita haitakaa iishe ,ni vita ya Kaka na dada,wanajuana mpaka kwenye familia zao ,ukimahinda mstuni atakuja nyumbani Kama ndg na kukushbulia then anaingia msituni.wakae mezani wamalize tofauti zao.
 
Mnaua Banyamulenge raia wa nchi yenu mnamsingizia PK, acha M23 wawanyooshe mmekosea sana mahesabu mtasafishwa nyie sasa na sitashangaa wakajikatia kipande chao kama Eritrea or Somali Land walivyoamua na mtapigana for the next 50 years mpaka siku mtakapo pata akili
Mimi wala sio mcongo 😁😁😅😅🤣
Mimi ni mbongo.
Cha kushangaza hao Banyamulenge unaosema wanaishi south kivu minebwe, na violence inavyotokea against banyamulenge inatokea south kivu ,
M23 wapo north kivu , sasa north kivu wanampigania nani. Kama wapo drc kwa ajili ya kulinda banyamulenge basi waendee south kivu kule ndo wakapigane na sio north kivu.
We uhoni kama hoja yako ni uhuni tuu.
kama wewe ni mbongo uwe unafuatilia mambo na acha KUfuata UHONGO wa Mr Putin
Sawa
Screenshot_20230127-224307_Google.jpg
 
Kwani hapo walikua vitani?we ndio unaleta propaganda za mtandaoni, M23 yenywe inawachakaza sasa jiulize RDF ikiingia itakuaje? yani FARDC +FDLR+MAIMAI NYATULA+CODECO na makundi mengine zaidi ya 130! M23 inawachakaza na kukimbia alfu eti RDF? kwa taarifa yako RDF ikiingia tu mwisho ni Kinsasha,Wanajeshi wa RDF 3000 tu!watosha kumaliza kazi.
Nchi itamegwa kwa kukosa maarifa kwa Viongozi wenu.
Kwani HAO m23( RDF) walikuwa wangapi kule tena walikuwa ni special force ya RDF.
Walikuwa na.
M23(RDF) ni threat sana kwa sababu wana

Heavy machine gun
Drone
Ant aircraft missile
GPS guides rocket
Night vision goggles
Granade launcher
Sniper rifle
Mortar rocket
bullet proof helment.
Night vision sniper goggles
Hata na artillery inasemekana walikuwa NAZO.
KULIKO makundi mengine HAWANA HIZO vitu.

Kwani M23(RDF) walikuwa wangapi msimu huu.
Coz Luna kipindi walizidiwa nguvu mwaka jana ,pk akatuma makomandoo zaidi ya 500.
 
Hapa nasikia Harufu ya North and South Kive Republic![emoji1787][emoji1787]
Ukiona Serikali inaanza ku target Raia wake kama BASHIR kule SUDAN alicho kifanya Darfur basi hivo.

Mark my Word!
Tarehe 27/01/2023
Wewe na ushuzi wenzio wa Kitutsi mnafikiria watu ni wajinga sana kama mlivyo nyie?
 
hao watusi kwa nin wang'ang'anie kukaa kweny nchi ambayo kiasili sio yao? Nchi yao rwanda si ipo lakn? Hata kama ni sababu serikali ya congo imewaharass, ni sababu kiasili hapo sio kwao, solution ni kurudi kwny ardhi yao mama.
 
Mimi wala sio mcongo 😁😁😅😅🤣
Mimi ni mbongo.
Cha kushangaza hao Banyamulenge unaosema wanaishi south kivu minebwe, na violence inavyotokea against banyamulenge inatokea south kivu ,
M23 wapo north kivu , sasa north kivu wanampigania nani. Kama wapo drc kwa ajili ya kulinda banyamulenge basi waendee south kivu kule ndo wakapigane na sio north kivu.
We uhoni kama hoja yako ni uhuni tuu.
kama wewe ni mbongo uwe unafuatilia mambo na acha KUfuata UHONGO wa Mr Putin
Sawa
View attachment 2497661
Wabongo hawaandiki kiswahili kibovu kama wewe unayetumia UHONI na UHONGO, sema tuu wewe ni FDLR umekuja kutembeza propaganda zenu za sumu
 
MIMI NIWACHUKIE WATUTSI WAMENIFANYA NINI MIMI, HAKUNA LOLOTE WALILONIFANYA MPAKA NIWACHUKIE.
ILA MGOGORO WA CONGO KINACHOENDELEA KULE NDUGU YANGU NI UKATAILI TUPU.
HATA WACONGO WENYEWE WANAWAUWA WATUTSI KULE DRC (BANYAMULENGE) COZ WANAAMINI NDIO CHANZO CHA MATATIZO KULE DRC.
WANAWAONA WANAFANANA NA WATUTSI NA WAHIMA WALIOVAMIA CONGO MWAKA 1996 NA 1998.
KAMA UNGELIJUA KAGAME NA MUSEVENI WALICHOKIFANYA KULE DRC MWAKA 1996 KAKA USINGESEMA , KILICHOTOKEA KULE NI UKATILI TUPU MKUU.

Ndio mshahara wa kushindwa last solution, msirudie tena
 
Hata HAO Banyamulenge asilimia kubwa hawampendi pk..
Nia yenu banyamulenge wapigane.
Eti wamege kipande cha ARDHI cha congo. Ili kutengeneza taifa Lao, wakipata wajiunge na Rwanda ndo mkakati yenu.
Ndo hivyo banyamulenge Hataki.
Wao wanajiona ni wacongo.
PHOTO-2021-05-14-18-51-41-1024x683-2.jpg

Wao WANASEMA tuu stop war, stop violence against banyamulenge,

Ila wanaipenda congo.
Pole yenu.
 
Back
Top Bottom