Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,624
- 1,934
Mie sielewi haya mambo! Hivi huo mrundikano wa wanajeshi kutoka nchi mbalimbali kwa jina la "kuleta amani DRC" wanafanya nini huko mpaka M23 wanaendelea kupata mafanikio haramu huko? Kumbe ndio maana wakongo wanawataka waondoke maana hakuna wanachosaidia!!Waasi hawa wanajieleza wenyewe:
View attachment 2497219
Ikumbukwe hawa waliwahi kupongezwa kwa walichokiita kujiondoa kwenye mji mwingine siku za nyuma.
Hawa hawastahili pongezi wala kusikilizwa kwa lolote.
Bila ya kutumia nguvu zinazostahili kuwafurusha wahuni hawa kutoka kokote waliko DRC, amani ya Congo ingali mbali sana.
Source: DW.