M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

M23 wakamata mji FARDC na washirika wak wakimbia

Kwani majambazi huwa wanafurushwa kwenda wapi kama si jela au makaburini?

Mapambano yenye kuhusisha kubeba silaha hayakubaliki.

Habari ndiyo hiyo.

Mimi naunga mkono Kujitenga kwa Nord Kivu, kuwa nchi kamili.
 
Naomba niletee USHAHIDI kuwa rwanda haihusiki na mgogoro na vita vya congo. Tumuone nano ni muhongo?
Kati ya mimi na wewe na mimi unaleta USHAHIDI wakwangu.

Rwanda wanawalinda watusi dhidi ya genocide wanayofanyiwa Nord Kivu.
 
USITAKE KUKATAA WAPO ASKARI WENGI SANA WA RWANDA WAMEKUFA HUKO CONGO WE KATAA TUU HATA WAPO MAKANALI WALIOUWAWA.
HATA GAMES KABEREBE TUU ALINYING'ATANG'ATA KUHUSU KIFO CHA SECOND LUTEN PETER.
WAPO HATA MAKANALI WAMEKUFA HUKO CONGO MWAKA JANA.

Na wewe umeingizwa kingi kwa uongo
 
hao watusi kwa nin wang'ang'anie kukaa kweny nchi ambayo kiasili sio yao? Nchi yao rwanda si ipo lakn? Hata kama ni sababu serikali ya congo imewaharass, ni sababu kiasili hapo sio kwao, solution ni kurudi kwny ardhi yao mama.

Watusi wapo nchi nne. Rwanda, Congo, Burundi na Uganda.
 
Hata HAO Banyamulenge asilimia kubwa hawampendi pk..
Nia yenu banyamulenge wapigane.
Eti wamege kipande cha ARDHI cha congo. Ili kutengeneza taifa Lao, wakipata wajiunge na Rwanda ndo mkakati yenu.
Ndo hivyo banyamulenge Hataki.
Wao wanajiona ni wacongo.
View attachment 2497850
Wao WANASEMA tuu stop war, stop violence against banyamulenge,

Ila wanaipenda congo.
Pole yenu.

Banyamulenge Ni wakongo, sio warwanda. Ndio maana unaoana waasi wa M23 wamevaa badge za DRC
 
Mimi naunga mkono Kujitenga kwa Nord Kivu, kuwa nchi kamili.
Ninadhani Congo ni victim wa foreign aggression.

North Kivu ijitenge? Kwa nini siyo South Kivu au Kinshasa huko? Je ni wananchi wote North Kivu wana bariki lengo hili la kujitenga zaidi ya hawa M23?
 
Sio

Sio uhuni watusi wanauawa huko Kivu Sasa Rwanda inawaprotect. Ndio Vita vya Urusi na Ukraine vilianza hivi.
Ina maana serikali ya Rwanda ndio mlinzi wa Watutsi kwenye eneo hili la maziwa makuu?....hakuna kitu kama hicho, Rwanda waache kuchochea uasi na machafuko huko Kivu.
 
Hapa suala la Banyamulenge sijui interahamwe ni vichaka tu. Inajulikana wazi PK yuko after minerals period.
Bila resources za DRC Kagame hawezi kuiendesha Rwanda.
 
Acha uongo, mwambie Felix aache genocide ya Watusi. Makabuli mangapi ya halaiki yamegundulika huko kivu.? UN wameshatoa report.
Niambie banyamulenge wameuawa wangapi huko congo tangu violence against banyamulenge ilipoanza?
Tuambie?
Na banyamulenge wameuwa wacongo wangapi.??
Tujue kwanza.
Tuanzie hapo.
 
Rwanda wanawalinda watusi dhidi ya genocide wanayofanyiwa Nord Kivu.
Kwanza Tujue north kivu kuna watutsi wangapi , na south kivu kuna watutsi wangapi. Na wanaishi eneo gani.
Na M23( RDF) wanafanya military operation eneo gani.
Maana unasema wanawalinda watutsi.
Tuambie kwanza.
 
Back
Top Bottom